Yamenikuta, msaada tafadhali

Utakuwa hujamridhisha huyo dem wako ndo maana kasema tuwe kaka na dada sasa ni cha zaidi unataka.!
 
Nipe namba yake nimuulize then nitakujibu...
BTW kutolewa kizazi ni matokeo ya fujo na sio matokeo ya kufanya kazi yako sawa sawa.

subiri nipate ridhaa yake mkuu....
 
Utakuwa hujamridhisha huyo dem wako ndo maana kasema tuwe kaka na dada sasa ni cha zaidi unataka.!

Ahsante kwa ushauri mkuu ila kama kweli hiyo ndiyo sababu basi tutaachwa wengi....
 
kama ulitendea haki usiku wako bas stress zikiisha atarud vizur tu.... ila kama ulibahatisha sahaauuuu
 
Mrejesho

Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii name sijamjibu chochote

""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""

wakuu nimjibu vipi huyu??

cc😡Tized, christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:
Mrejesho

Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii nami sijamjibu chochote na ameituma Mara 2 Mimi kimya

""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""

wakuu nimjibu vipi huyu??

cc: Tized, christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:

una miaka mingapi?
 
Last edited by a moderator:
mitano

kwani vipi mbona umeuliza umri mkuu?

hicho ulichouliza ndiyo kimenifanya nikauliza swali..
 
Last edited by a moderator:

Wakati mwingine sio kwamba binti akikupa K maana yake ame-fall. Inawezekana kabisa tamaa za mwili zikamsukuma kufanya hivyo lakini moyoni mwake haupo kabisa.

Ni bora alivyokwambia ukweli ambao wengi hamuupendi.
 
Ni kweli mkuu

nashukuru kwa ushauri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…