Yamenikuta, msaada tafadhali

Katika ushauri walioitoa wadau.
.kuna mambo mengi nimejifunza.
 
Naona hutaki kusaidiwa

Mkuu msaada nauhitaji ndiyo maana nipo hapa kuupokea ila suala LA kukupatia namba yake sidhani kama itakuwa sehemu ya msaada mkuu

Nisamehe kwa hilo
 
huyo anakutingisha upande dau we mchunie uone week haitaisha atakutafuta
 
huyo anakutingisha upande dau we mchunie uone week haitaisha atakutafuta

mkuu mimi ni mfupa uliomshinda fisi

kwa sababu hiyo nimemkosa
 
she made decision under stress just give her more time to think ....samtyms it happens in life kuna kitu inaitwa maamuz ya hasira hayafai kabisa....especially kwenye mapenzi tunatakiwa kuamua jambo tukiwa conscious...... give her time
 
Mkuu msaada nauhitaji ndiyo maana nipo hapa kuupokea ila suala LA kukupatia namba yake sidhani kama itakuwa sehemu ya msaada mkuu

Nisamehe kwa hilo

exactly yes..
 
she made decision under stress just give her more time to think ....samtyms it happens in life kuna kitu inaitwa maamuz ya hasira hayafai kabisa....especially kwenye mapenzi tunatakiwa kuamua jambo tukiwa conscious...... give her time

Thanks mkuu

Maelezo yako yana msingi mkuu maana hata kunikubalia ilikuwa kwa shingo upande sasa nashangaa alivyobadilika ghafla.

She kind thinking about her pain full past moment.
 
Nimeshajiangalia mkuu Sina kasoro yoyote labda kwa sababu sijawahi kumpa hata senti tano yangu.

angekuwa mwanafunzi wa chuo ningehisi namjua manake nina rafiki yangu yuko chuo yeye akipata bwana wakigegedana asipopewa hela anavunja mahusiano
 
Pole mwaya.. alitaka mchezo tuu huyo.. bado ako na stress za x wake, so its obviously she cant start a r.ship na wewe huku bado akili ipo kwa mwingine.
 
Pole mwaya.. alitaka mchezo tuu huyo.. bado ako na stress za x wake, so its obviously she cant start a r.ship na wewe huku bado akili ipo kwa mwingine.

Nashukuru kwa ushauri mkuu .
 
Kulingana na maelezo ambayo umetoa mpaka sasa anaonekana huyu binti kaathirika na tendo la kuachwa na x wake. Kwanza haamini mlivokutana kama uliridhika kwasababu unasema ngoma ilimshinda akaomba udhuru. Hiyo ni njia mojawapo ya kuona kama uhitaji wako kwake bado upo kuondoa ile hali anayoihisi. Pili anaweza kuwa analipiza kisasi cha kuachwa maana wapo wa namna hiyo kosa anafanya mwingine analipiza kwa mwingine. Tendo la kuachwa akina dada huwavunja moyo especially kwa mtu aliyempenda na alikuwa na matumaini naye. Anafikiri hili laweza kumtokea kwahiyo kuwahi akakupiga kibuti itampa ahueni ya kutopata maumivu mengine. But with time anaweza kurudi..bado anapita kwenye kipibfi kigumu.
 
Nimekuelewa mkuu

Ahsante kwa ushauri.
 
mkuu ulitaka nlimtoe kizazi ndiyo angeridhika?

Nipe namba yake nimuulize then nitakujibu...
BTW kutolewa kizazi ni matokeo ya fujo na sio matokeo ya kufanya kazi yako sawa sawa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…