Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

watu bado hatujamaliza ya escrow na wewe unaleta ya malaika...
 
Duh watu kumbe bado wadanganywa hivi kama watoto
 
Hahaha! Hakuna cha malaika hapo, wajanja washakula mapema.
 
kama huna kitu/mada ya kupost usiwapotezee muda wanajamii...post nyingine ni za darasa la sita au saba hivi!acha utoto ndugu!
 
Tittle yako imenifanya nicheke sana, ok you have made my day
 
Unajua kuna mbambo hauitaji kuomba ushauri nikuambua mgegede afu umtoselee mbalii
 
Mimi sijakwambia utaje dhehebu, nasema bora imani ingekuwa kwa Mungu wa Mbinguni sio kwa Kakobe au nabii Joshua. Bado sana utakuja kukumbuka shuka kumekucha, in short unalea mimba ya meanaume mwenzio na huyo mlokole feki kakugeza wewe ----, POYOYO, ZEZETA kwa kisingizio cha imani kali. Acha uzembe wewe, wanaume hatuko hivo.

Mkuu ndo mnanifumbua akili.
 
Usikute muanzisha uzi ni mtu mwenye heshima yake katika jamii kama prof M.....ngo au hata naibu spika!ID fake raha sana.
 
Hahaahaaaaaaaa thee teheeeeeee uwiiii.... bikira maria kwenye this eraaa.... naomba ukamuweke kwenye guiness world book of record uwiiiii my mbavuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom