Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

ulisafiri muda gani? ulimpima bikra mwaka gani? za kuambiwa changanya na zako. ww malaika hajakutokea kukwambia usimwache? maana hata yusufu alitaka kumwacha mariam ila malaika kamwambia asimwache. hapo ndipo alipopata uhakika.
 
kwenye hadith yake nmejifunz angles for her wat she believes also do fack their followers
 
Mmhhh, wamekuingizia wajanja. Ni bora angekuwa na imani kwa Mungu wa Mbinguni, lakini ana imani ya dini tuu, sijui. Ni dini gani hiyo....mizimu ama???

kuitaja dhehebu lake inaweza kuwa kero kwa wengine.. ila ni muumini mzuri tu na ametokea ktka familia yenye imani kali .
 
Ngoja mie nipite kimya! mdogo mdogo,mtanikuta hapo dukani kwa mangi!
 
Usihofu, miaka mitano si mingi. Juzi tuu tulimchagua rais kipindi cha pili, sasa ana aga aga watz. Nawe ngojea kama unamwamini. Mtwae awe mkeo ila usim do mpaka ajifungue huyo mtoto hata kama kafanana na jirani usijali. Nabii hufanana na watu wake. Hata akijifungua, ili maajab yatokee vizuri, mtunze vizuri mamake mpaka mtoto akuruhusu kumletea mdogo wake. Utapata baraka na hishima kwa Muumba wako.

Nitajitahidi kufuata ushauri.
 
chai+kande+maziwa mabichi+mlenda= UTOKO

huwa napata shida sana na wanawake mliopo humu JF,hivi wewe masai dada ni wa kuolewa au umeolewa na kutengeneza familia kweli? maana midomo yenu imejaa matusi,sasa ume koment nini? huo utoko si unatoka kwa mwanamke ambaye ni wewe? so unajitusi?
 
Mwaka 2014 hii Habari yako nayo ndg yangu itakumbukwa kama Escrow Account.
 
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!
Mkuu mpyepye tuwekee picha tafadhali!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom