Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

ulisafiri muda gani? ulimpima bikra mwaka gani? za kuambiwa changanya na zako. ww malaika hajakutokea kukwambia usimwache? maana hata yusufu alitaka kumwacha mariam ila malaika kamwambia asimwache. hapo ndipo alipopata uhakika.

Kama mwaka mmoja hivi..nasubiria malaika anitokee kunipa msisitizo ila hollaa!
 
Kama mwaka mmoja hivi..nasubiria malaika anitokee kunipa msisitizo ila hollaa!

hahaha.... nilijua wiki moja sasa mwaka c ndo wenzio wamekuwa malaika! nakushauri na ww uwe malaika umwongeze mwingine halafu utafute wa kuoa ila akuzalie na ww upunguze machungu!
 
Hivi nyie mlopata kuchangia mme anzaje? minashindwa nianziewap Mtoa post nikumbushe nianzeje?
 
kuitaja dhehebu lake inaweza kuwa kero kwa wengine.. ila ni muumini mzuri tu na ametokea ktka familia yenye imani kali .

Mimi sijakwambia utaje dhehebu, nasema bora imani ingekuwa kwa Mungu wa Mbinguni sio kwa Kakobe au nabii Joshua. Bado sana utakuja kukumbuka shuka kumekucha, in short unalea mimba ya meanaume mwenzio na huyo mlokole feki kakugeza wewe ----, POYOYO, ZEZETA kwa kisingizio cha imani kali. Acha uzembe wewe, wanaume hatuko hivo.
 
Ukawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, tumaini letu...
 
Hawa wanajiita sijui mtumishi sijui mtu wa dini ndo wabaya kuliko watu wote huku duniani,yani kauli yako ya mwanzo tu nikisibitisho tosha umeshaibiwa,,,,kama unampnago wa kusubiri miaka mitano uone ndoto za alinacha subiri ila naona hhata usitafuta ukaribu nae tena tafuta pesa ndo kilichobaki mwingine atakuja tu kwan yeye yupo mwenyew dunia hii,,,,ni kweri kuwa na nazi kipande lakin inaunga mboga kuliko kuwa na nazi nzima alafu ukipasua unakuta imeoza tayari na kutoa fungus
 
Nikweli huwa inatokea kutembea juu ya maji sikila nabii anafanya endelea kuamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom