Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Nina wasiwasi na umri wa wew mleta uzi ! Utakuwa under 20 wew! Ukiona hizo nyodo tambua wenzio washakula we miaka 4 unamtazama acha wenzio wakusaidie huyo Ni wa kaka zako tayar
 
Kumbe mwanafunzi wa sekondari, dogo inabidi ujisarimishe kituo cha porisi mwenyewe.
 
Kwa hizo mbwembwe ulizoanza Nazo mwanamke mwenye akili zake lazima akupige chini
 
Unapokuja kuomba ushauri JF zingatia haya;

- Maelezo: Toa maelezo ya kina ya shida yako. Usiandike kana kwamba sisi tulikuwa nawe wakati yanakutokea

- Haihitaji hasira: Unapoulizwa swali ili kutoa maelezo ya ziada usikasirike. Toa maelezo, sikiliza muulizaji atasemaje. Ukitujibu kimkato nasi tutaendelea kukujibu kimkato. Be open hakuna anayekujua huku. Hujaulizwa jina lako.

- Elezea upande wako: Unapoomba ushauri ni vyema ukaelezea kinagaubaga shida yako kisha mwishoni ukasema, "Mimi nilikuwa nafikiria a, b na c... kwa sababu x, y, z!" Wadau mnanishaurije?

Siyo unaulizwa swali unakasirika au na wewe unauliza swali (kwani unatakia umri wake wa nini?).

Haya sasa jibu maswali ya wadau AU rekebisha thread yako uongeze details zote muhimu KISHA subiria ushauri.
 
Naona analeta kihelehele kwenye mali ya serikali
 

Nakushauri maliza kwanza shule kijana, si unajua cku hiz ukiwa na supp hupati mkopo
 
Pole sana! Mahusiano yana milima na mabonde... Usikate tama! Wasichana stage hiyo wako rahisi sana kushawishika na marafiki... Ukute marafiki walimuonesha jinsi ya kupenda ila amegu dua wewe ndo sahihi. Msamehe tu muendelee.
Namkushukuru sana
 
Mademu xx hvi nawfanyia UMAFIA!! Ni mwendo wa kupga na kusepa!! Iko hivi, atakaye kaa kwnye njia napga ksha nampotezea na kupiga ni zaid ya mara 2 after that Mikausho mikali mpka anitafute yy!! Akitoka huyo anakuja mwngine atakayekaa kwenye Site yngu!!
NINA ROHO MBAYA YA MADEMU sitaki hta kusikia wla kubembelezwa juu yao!! Nnapomfukuzia nakuwa mpore, mixer kumfanya Queue ila akinipa KANYA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…