excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
huo ndio mpango mzima wa MKUKUTA...
umasikini unafutwa kwa njia zote as much as possible.
kama mkulu kakubaliana na hali, basi waacheni wauze!
ila kwa mwaka huu wa fedha, waanze kulipa kodi, tena iwe kubwa sana ili biashara iwe na competition! watakaoshindwa wajitoe sokoni