Yamenikuta jana usiku Sinza

Yamenikuta jana usiku Sinza

Ungepima oil kuchek the degree of wetness na elasticity kama kutakuwa na great adhesion force wakati wa ku-do.

Pia kuna umuhimu wa kupima radius na kiwango cha joto. Sio mbaya ukapima na harufu. Mie papuchi kama hainuki sipati midadi.
 
mkuu ulitembea umbali mrefu kidogo. hyo reseach ilikuwa ngumu kias ee?
 
Mkuu pole kwa ugeni...hiyo kawaida sana..Kuna siku kipindi cha nyuma kidogo, nlikua natoka kwenye harusi niko na baba mkwe wa rafiki yangu na mke wake pamoja na rafiki yangu. nlikua naendesha gari tunapita mitaa hiyo tokea oilcom kuja mcity..ilikua usiku. Ile naimaliza meeda taa za gari zikawamulika watu wawili wanajamiiana wameegemea nguzo...Dah, nlizima taa haraka but nadhani kila mtu aliona ila hakuna aliye uliza chochote..Hii ndiyo Dsm Usiku.

Mi ningeomba sub.
 
pole.. yaani kupita njia tu ushadata, na sisi tunaoishi huko inakuaje?
 
Ujasiriamwili ndy dili kwa wadada hapa mjini.
 
Kwan umetokea kijij gan mkubwa mbona ni bisness kama nyingne tu-nenda posta na casinos ukashangae zaid utoe tongotongo
 
hao ni wasaka tonge..

mwenye kaya angeamua kuwatimua, angewatimua tu, ila kwa vile kawaacha, that means biashara iko valid!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom