Kapicha kanini?
wamachame noooma! labda uwe maskini forever ndo utakuwa salama, otherwise utadedi fasta
Nashukuru mkuu ,ila hata yeye nimemhoji alichoniambia ni kwamba hivyo vitu vipo ila ipo kwa baadhi ya watu lakin sio wamachame wote wapo hivyo.Kwa hiyo nikaona ni busara nije niombe ushauri hapa kwa waalamu zaidi ili tushare ideals.
Mtungue manati mapem huyo, mmachame si mke wa kuwa naye hata wa bure. Hao watakuja kukuua kama una mali na kama hauna watakulazimisha kuwa mwizi/jambazi. Tupilia mbali.
walimuua nani?Wanaua wanaume ni hilo mkuu.
Nashukuru sana mkuu ,Mungu amlaze mahari pema peponi shangazi yetu