bongompya
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 224
- 43
Wadau ,naombeni ushauri wenu,nimepata mchunga kutoka Machame yaani Binti wa kimachame,lakini familia yangu pamoja na jamaa zangu hawapo tayari kuona naendelea na huyu msichana.Wakidai mabinti toka huko sio wazuri sana kuolewa au kuchumbiwa kwasabu ,inasemekana tabia za huko machame sio nzuri kwa wanaume wanaowachumbia na kuwaoa na Hawajasema tabia zipi.Sasa naombeni mnijuze ni tabia zipi na mambo yepi mabaya ambayo watu wengi huwasifia kwamba hawa watu wanayo? Naombeni ushauri wadau wangu