Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,730
Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?