Yamenichanganya naomba ushauri wa haraka.

Tarime one

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
2,246
1,730
Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?
 
Patamu hapo.. Ngoja wakongwe waje..
But remember to mind your damn business..
 
Chunaaaaaaaa! Usimwambie mwanaume (Huwezi jua hapo bibi ktika defence kesha wahikustaki unamtaka siku hizi kama ujuavyoanaewahi polisi ndo mwenye haki.), na bibi mchunie hivo hivo! Hapo utakuwa NAM (Non Allied Movement!)
 
Usipanic mkuu huenda yupo na mdogo wako wameamua kubadili mazingira kdg sikukuu hizi si unajua tena? Usisite kutupa mwendelezo ili tuweze kutoa ushauri yakinifu.
 
Kimya kingi kina mshindo. We tulia tuli. Atakuja mwenyewe ndipo umwonye kuwa hako kamchezo akaache kabisa. Alivo mjinga atakuletea mwambie huna haja ya kumsaliti nduguyo ila hupendi kuona hayo yaliyotukia yakiendelea
 
Mkaribishe mezani kisha muendelee kutiririsha kilaji...
 
Mwambie bwana mdogo...hilo ni kosa la mwisho kabisa mtu kufanya kwenye ndoa.....sijui watu wanafikiria vipi>>>?
 
Yah kweli uchune tu, usimwambie chochote dogo wal shemejio usimwambie chochote, nakuhakikishia shem hatakuwa na amani atakutafuta mwenyewe, akija sasa mshauri kuwa huo mchezo sio mzuri aache mara moja, kuna maradhi lkn mbaya zaidi anaweza kugechwa hata sikio na dogo, mkurya hachelewi kugecha ati
Kimya kingi kina mshindo.
We tulia tuli. Atakuja mwenyewe ndipo umwonye kuwa hako kamchezo
akaache kabisa. Alivo mjinga atakuletea mwambie huna haja ya kumsaliti
nduguyo ila hupendi kuona hayo yaliyotukia yakiendelea
 
Mpigie dogo ujue yupo nae au mwingine anamega tunda! Kama mwingine mchane dogo ukwel, hawana maana hawa madem
 
Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?

Wewe unataka ufanyeje kuhusu nini?
Mana kama ni kumuona umemuona yameisha hayo....
 
Mwambie bwana mdogo...hilo ni kosa la mwisho kabisa mtu kufanya kwenye ndoa.....sijui watu wanafikiria vipi>>>?

Huyo bwana mdogo akiambiwa ataelewa na kuamini..isije akageuziwa kibao...

Binafsi kama ni mimi ningeuchuna tu mpaka aje agundue yey mwenyewe
 
Huyo bwana mdogo akiambiwa ataelewa na kuamini..isije akageuziwa kibao...

Binafsi kama ni mimi ningeuchuna tu mpaka aje agundue yey mwenyewe
........I don't like cheating kabisa....ingekua mimi ningemwambia...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwambie usifiche ugonjwa hata kuwahi Huyo utaona moto wake ww uwajui hatakupa kesi ya nyani ndugu yako ht kuchukia milele
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom