Yaliyotokea jana usiku mabibo hostels yanasikitisha sana!

Haya bishosti atakuja tu naona anamalizia kumuaga boss
Si unajua lara 1 ni mjasiriamali wa masuala haya.....Anakupa vitu vyake na anakushauri next time uende vipi sio unakurupuka.
Kaunga ana huruma za kilokole. Preta ha-mind ataponda, Wiyelele atasifia jamaa alikuwa shujaa dhaifu.
 
So k are for sale, is of a human being or a toy, how does it being conveyed/disposed is that what u have learn at college or beijing? Or is that a result of equal rights between gender while one tend to be the property to be sold, is that bossiness been conducted at open market or black market are you paying tax for it how does the one who sale k consider her self, i ve a lot of question, but plz find the actual and as well declared ans, then u have to think before commenting dont derive ans from emotional and am begging those k seller not to comment coz it will not be fair the remedies is for them to give reasons
 
ndio maana mi niliamua kuoa kila nikigeuka ipo......!!!
Ila huyo dada aliyefanya hivyo namwombea mabaya maisha yake yote akianza na kufeli chuo... kwani alishindwa kumkatalia au akamzia na simu asipatikane kabisa?
 
Umwombee mabaya kwa lipi? Huyo jamaa afanye ka ulofanya mambo ya kufunga safari kama ze dog cyo ishu
ndio maana mi niliamua kuoa kila nikigeuka ipo......!!!
Ila huyo dada aliyefanya hivyo namwombea mabaya maisha yake yote akianza na kufeli chuo... kwani alishindwa kumkatalia au akamzia na simu asipatikane kabisa?
 
Umwombee mabaya kwa lipi? Huyo jamaa afanye ka ulofanya mambo ya kufunga safari kama ze dog cyo ishu

kwa kumuita mwenzie mwizi wakati si kweli na kusababisha maisha yake kuwa hatarini au kilema cha kudumu k yenyewe si kapewa bure kwani alinunua? ashukuru Mungu alimpata hata wa kumpa sabuni ya kuiosha!
 
Hili jambo ni pana kwani matukio hayo hata mtaani yapo na si k ya bure kwani inajulikana wazi mademu wa chuo ni wauzaji atajifanya anakupenda kumbe anapenda pesa yako
 
Kitendo cha kuita mwizii....namtandika risasi za kichwa hapohapo na yeyote atakayesogea nae anakula ya kifua...hasa wale wapenda kupiga mwizi....
 
mi huwa nashindwa kuelewa kwa nini umng'ang'anie mtu.......hivi duniani kuna wanaume wangapi.....au wanawake wangapi....chaaaaaa.....tupa kule........
Preta, wakati mwingine si kung'ang'ania. Unaweza kukuta mdada kagonganisha magari. Sasa ili kuua so anajifanya hakufahamu. Ukianza kutaka kumdadisi ndiyo anakuchenjia kwamba wewe ni mwizi.

Hapo mabibo haya mambo yashatokea sana. Na moja ilitokea hall one pale main campus, mkaka huyo alifika kwa mchumba wake akakuta yupo na mwanaume mwingine. Yule dada akajifanya hamjui huyo kaka, yule kaka kutaka kudadisi ni kwa vipi, mdada kaanzisha yowe la mwizi. Kama si yule kaka aliyekuwa chumbani mwa yule dada kusimama upande wa yule kaka, angekufa maana jamaa walishakuja na vitofali na kuanza kumshughulikia. Lakini yule kaka aliyekuwa na dada chumbani akawaomba watu wasimdhuru ili aulizwe kwanza. Ndiyo ikajulikana kwamba jamaa ndiye aliyekuwa analea ule mzigo, na ilikuwa ni kawaida kuja pale bila appointment.

Kwa hiyo mimi naamini kwamba wanawake ni manyoka. Mfuge na utakavyoweza, siku ukikosea step lazima akugonge tu. Kwa mwanamke, kuua siyo issue, kikubwa yeye atimize lengo lake.
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa familia yake .... ila siwaelewi watu wanaoenda kwa mademu, she should come to your place.
Kama hataki, achukue time yake!!
 
Acheni lawama kwa marehemu, kuna siri nyingi zimejificha nyuma ya kifo chake!Tumwombee apumzike kwa Amani!
 
Wee eti ka hataki! Shida yako akuletee lol waulize wanaozifata
Pole kwa familia yake .... ila siwaelewi watu wanaoenda kwa mademu, she should come to your place.
Kama hataki, achukue time yake!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom