Yaliyotokea jana usiku mabibo hostels yanasikitisha sana!

Uwezekano mkubwa siyo bure, inawezekana jamaa kasha honga pesa nyingi na amenyimwa na mwanamke hamtaki ndio maana kamuitia mwizi!

Alifata k ya bure nn?....angekufa,wanaume nanyi mbadilike k za mafungu zitawatokea puani, mzabzab hebu njoo uwape somo madogo
 
Last edited by a moderator:
Huyo mume wa mtu alifata nn huko cha ajabu ambacho mkewe hakuwa nacho?

my dear, Hamna binadam yeyote anayestahili adhabu ya kifo, no matter what he has done. wadada wengi design hii utakuta keshakula vitu vya jamaa alafu ndio anamuitia wizi, is it fair jamani?
 
Wewe umetumia ngapi? K zilizokwenda shule gharama so ukizitaka uwe tayari kuitwa mwizi, kupigwa n.k
Siyo ya bure bali anataka K zilizoenda shule..huwa nawaskia vijana wa mtaani huku kwetu Mabibo..oohh..ninademu mkali sn yupo chuo na anaishi mabibo Hostel..ni prestige kwao kuwa na demu wa chuo siyo..mmhh..wangejua jinsi zilivyotumika hizo za chuo..!!
 
Alifata k ya bure nn?....angekufa,wanaume nanyi mbadilike k za mafungu zitawatokea puani, mzabzab hebu njoo uwape somo madogo

Sr.Nafuatilia comments zako kwa ukaribu mno.Naona bado Sakrament haijakaa sawasawa.Huyo jamaa inaelekea ana undugu na yule kamanda aliyefariki.
 
Ila hili tunda la adamu na hawa ni la hatari sana!!! Yaani linawafanya watu kuwa zuzu, wanagwaya, wanauana, wanafanyiana kila hujuma ambayo unaifahamu duniani!!! Ninikumbuka kifo cha Vonesta Nkya na kijana wa pilot wetu basi ukitaka kujua madhara ya mapenzi kwa mlio Marekani basi achana nayo kabisa!!! Kama demu au jamaa hakutaki achana naye tu mbona wanaume/wanawake wapo tu!!! Hata pata wa muda wakati una search for a longterm commitment!!
 
Mie nshafunga nadhiri za daima kitambo,nawapa hints wapenda vidude lol
Sr.Nafuatilia comments zako kwa ukaribu mno.Naona bado Sakrament haijakaa sawasawa.Huyo jamaa inaelekea ana undugu na yule kamanda aliyefariki.
 
Umeona eeeeh watu wanageuka mazuzu chezea tunda la mti wa kati weye!! Ile khabari nyingine ati
Ila hili tunda la adamu na hawa ni la hatari sana!!! Yaani linawafanya watu kuwa zuzu, wanagwaya, wanauana, wanafanyiana kila hujuma ambayo unaifahamu duniani!!! Ninikumbuka kifo cha Vonesta Nkya na kijana wa pilot wetu basi ukitaka kujua madhara ya mapenzi kwa mlio Marekani basi achana nayo kabisa!!! Kama demu au jamaa hakutaki achana naye tu mbona wanaume/wanawake wapo tu!!! Hata pata wa muda wakati una search for a longterm commitment!!
 
Wanafunzi vyuo vikuu someni kwanza, achananeni na uhuni usio na maana kwa kuwashwa na hivyo vibuumu vyenu. Mtagraduate mkiwa na ukimwi au hamtagraduate kabisa.
 
Umeona eeeeh watu wanageuka mazuzu chezea tunda la mti wa kati weye!! Ile khabari nyingine ati

Ila kwa kweli Ciello, lile ni tamu mnoo sijapata ona!! Kweli na UKIMWI huu umekamata pabaya, alijisemea mzee wetu kuwa .....kamata mahali ambapo sote twapenda!!! Ile kitu inapanda utosini ati unasahau kama uko duniani au ahera!!! Sasa ukute wenye mautundu yao khaaaaa!!!
 
Acha kabisa ule utamu hauelezeki so ukiona mtu kaitwa mwizi wala usishangae pale sir God aligonga kwenyewe
Ila kwa kweli Ciello, lile ni tamu mnoo sijapata ona!! Kweli na UKIMWI huu umekamata pabaya, alijisemea mzee wetu kuwa .....kamata mahali ambapo sote twapenda!!! Ile kitu inapanda utosini ati unasahau kama uko duniani au ahera!!! Sasa ukute wenye mautundu yao khaaaaa!!!
 
Huyo msichana anaitwa nani ili wote tumfahamu maana hizi ni zama za uwazi na ukweli
 
Hahahahah mi simo watu wana majonzi lol bishosti lara 1 hebu njoo utoe ushauri na saa huku

Si unajua lara 1 ni mjasiriamali wa masuala haya.....Anakupa vitu vyake na anakushauri next time uende vipi sio unakurupuka.
Kaunga ana huruma za kilokole. Preta ha-mind ataponda, Wiyelele atasifia jamaa alikuwa shujaa dhaifu.
 
Umasikini mbaya sana kwa kweli.natuma pole kwa waathirika wa tukio hilo kwa namna moja ama nyingine na huyo kijana ajijenge,aache kukaa nyumbani kwa wazazi wake.

Alifata k ya bure nn?....angekufa,wanaume nanyi mbadilike k za mafungu zitawatokea puani, mzabzab hebu njoo uwape somo madogo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom