Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Hata wa jinsia ya kike nao wangekuwepo wenye roho kama ya jamaa......tungekuwa mbali.good man,nchi hii ingekuwa na watu wazuri kama wewe hasa wa jinsia ya kiume tungekuwa mbali....
Hata wa jinsia ya kike nao wangekuwepo wenye roho kama ya jamaa......tungekuwa mbali.good man,nchi hii ingekuwa na watu wazuri kama wewe hasa wa jinsia ya kiume tungekuwa mbali....
Ahahahahaaah!! Ungechukua ukaiweka hata benki.najibu hiyo namba 1,nilikataa sababu sijawahi kuishika hela hiyo ningekuwa chizi baada ya kupewa, pia zipu ingekuwa haifungi tena maana c unajua uswahilini NANILIYU ilivyokuwa bei rahisi hasa ktk vibanda vya gongo na ningekuwa nalewa kila thiku.
Tehe tehe tehe eeeh!!Lofa kweli.:A S thumbs_down:
Mkuu niliichukua ile 500 na nikaenda uswazi kwa miguu kesho nikaamua kwenda kufungua acc bank fulani nikakutana na kiama kingine kipya,soma hapaAhahahahaaah!! Ungechukua ukaiweka hata benki.
Pesa cjaikataa c nimechukua 500 ! au 500 sio Pesa huko kwenu MOTO samahani namaanisha MOSHI?man acha mchezo na pesa, me ningekuwa huyo polisi ningekuendelezea kipondo, huwezi kukataa pesa.
Ungekuwa Moshi tungekupiga marufuku usirudi mtaani ukae hukohuko polisi, huwezi kukataa pesa bana.
cmu cna Ndio kwanza nimenunua face Ndio nazichanga ninunue betri na vfaa vingine Mpaka cmu itimieWasha washa umesema mtoto ni bomba we ungeomba namba yake ya simu.akili ikikaa vema utajua cha kuongea naye
Wewe kweli mtakatifu hongera kama ni kweli
Ha!! Umenifurahisha sanaman acha mchezo na pesa, me ningekuwa huyo polisi ningekuendelezea kipondo, huwezi kukataa pesa.
Ungekuwa Moshi tungekupiga marufuku usirudi mtaani ukae hukohuko polisi, huwezi kukataa pesa bana.
Mkuu niliichukua ile 500 na nikaenda uswazi kwa miguu kesho nikaamua kwenda kufungua acc bank fulani nikakutana na kiama kingine kipya,soma hapa
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/107624-wezi-wa-bank.html