Yaliyonikuta jana jioni

Yaliyonikuta jana jioni

devil is a liar! I hate sijui ni him with all my heart! Tumpingeni kwa nguvu zote jamani.
Sui huyu mamaalifata nini mkutanoni

"Mungu alipo ndo na shetani anaweka kiti chake"
wote walifata neno ila ndo uso kwa uso wakakutana na shetani
 
kumbe natakiwa kutafuta mwanamke mpya ambaye hajawa na mtu bado coz hawa wenye ma X ni nouma sana eeeeh... hii natari tunapaswa kukemea na kumuomba mungu unapokuta Mkosaji anajisifu hadharani
Hii ni hatari, NDOA na iheshimiwe na watu wote...!!
 
Eti manuu, ulitaka tujifunze nini kwenye hii thread kaka?
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa majira ya saa kumi jion baada ya kutoka church nilikwenda mahali kukutana na watu fulan kwenye hotel moja Hapa Arusha inaitwa Arusha Tourist Inn kama sijakosea jina tukiwa kwenye mazungumzo nikasikia sauti za mahubir, Nikamuuliza jamaa wap kuna mahubiri akaniambia ni mahubir ya Mwakasege kwenye viwanja va reli.

Tulivyomaliza mazungumzo na wale jamaa nikaamua nishuke hapo viwanja vya rel nikapate neno kidogo si mbali na hapo tulipokuwa. Kufika nilikuta umati mkubwa sana wa watu kiasi ambacho hakuna nafas kusogea mbele tena watu tuliochelewa mwisho wetu palikuwa ni kwenye barabara ya rel kwan kule uwanjan pameshajaa mno. Nikafika pale nikiwa nimesimama nasikiliza neno ghafla nikaguswa bega kugeuka sikuamini macho yangu kwan alikuwa ni binti tuliowahi kuwa na uhusiano wa kimapenz miaka 12 iliyopita na hatukuwah kuonana tangu mwaka 2002. Tulikutana sekondary mwaka huo mi nilikuwa form 6 yeye akiwa 4. So tangu nimalize Sekondary hatukwai hata kuwa na mawasiliano kabisa.
Tukaanza story moja mbili yeye ameshaolewa sasa ana mtoto mmoja na mimi pia nipo na familia yangu, Tulizama kwenye story hadi tukasahau kilichotupeleka pale.
Story zillikuwa nyingi mno alinieleza kila kitu kuhusu Mme wake mwisho tukajikuta tuko kwenye makubaliano ya kwenda kukumbushiana.
Ilikuwa ngumu kwa kila mmoja wetu ila mwishowe shetan alitushinda tukajikuta tukitoka eneo la mkutanon majira ya saa 11 jioni.Nikaita tax ili kuondoa ushaid yeye akaacha gari yake palepale uwanjan na mimi nikaacha hapo hapo.
Tukazama kwenye Tax mpaka mafichon nikalipa room tukazama ndani nikaagiza kila kitu faster faster kikaletwa huko room.
Binti ni mrefu mweupe anaumbo namba nane na si haba Mungu kamjalia ana kazi nzuri so anavijisent vya kujaza Harrier mafuta.
Tukaanza kula na kunywa vitu pale mara nimlishe mara anilishe mara aninyweshe kinywaji changu kwa mdomo wake.....Hheheheeh
Mambo ikapamba moto tukasahau chakula na vinywaj mara nimmwngizie mkono ndan ya sketi yake fup ya suti aliyokuwa amevaa huku nayeye akipanua miguu na ndimi zikipokezana mate.
Ghafla akasimama akaanza kuvua nguo kwamba lakin hatu-do leo ni romance tu nikamwambia poa.
Akavua kila kitu na mimi chap chap nikavua kila kitu tukabak kama tulivyozaliwa halafu eti ni Romance tu.
Tukarud bed nampapasa mapaja anapanua miguu huku akiwa nae ameshikilia kati kati ya miguu yangu akipapasa kidogo nikamlalia kwa juu yake akatanua miguu yote nikamlalia akiwa ametanua miguu huku akiguna na kunilamba masikio na huku akizungusha kiuno chake taratiiiib, Kushtuka tayar saa mbili tukatoka tukapiga bafu Tax ikaja tukaenda chukua Magar uwanjan kule, kwan pale uwanjan wakat wa mkutano ulinz ni mpaka asubuh.
NDIYO HIVYO SASA.

Kondomu mliumbuka???? Miaka 12 apart, mnakutana halafu na denda mnapeana!!!??? Mlipimana lini?? Hata niwe nimekutema mwezi mmoja ni lazima tupimane na ndomu inaendelea kuvaliwa kama kawa. Mtu pekee ambaye sitavaa ndomu ni mwenzi wangu tu japo wanandoa wanaongoza kwa HIV but acha tuleteane sisi kwa sisi na tukiupata sitahusika maana kamwe nje bila ndomu ni marufuku na huko hakuna deep kissing and romance!!!!! manuu umenipa changamoto sana katika kupiga vita ukimwi.
 
hahaa sidhani ka ndomu walikumbuka hapo..............
 
Ilikuwa majira ya saa kumi jion baada ya kutoka church nilikwenda mahali kukutana na watu fulan kwenye hotel moja Hapa Arusha inaitwa Arusha Tourist Inn kama sijakosea jina tukiwa kwenye mazungumzo nikasikia sauti za mahubir, Nikamuuliza jamaa wap kuna mahubiri akaniambia ni mahubir ya Mwakasege kwenye viwanja va reli.

Tulivyomaliza mazungumzo na wale jamaa nikaamua nishuke hapo viwanja vya rel nikapate neno kidogo si mbali na hapo tulipokuwa. Kufika nilikuta umati mkubwa sana wa watu kiasi ambacho hakuna nafas kusogea mbele tena watu tuliochelewa mwisho wetu palikuwa ni kwenye barabara ya rel kwan kule uwanjan pameshajaa mno. Nikafika pale nikiwa nimesimama nasikiliza neno ghafla nikaguswa bega kugeuka sikuamini macho yangu kwan alikuwa ni binti tuliowahi kuwa na uhusiano wa kimapenz miaka 12 iliyopita na hatukuwah kuonana tangu mwaka 2002. Tulikutana sekondary mwaka huo mi nilikuwa form 6 yeye akiwa 4. So tangu nimalize Sekondary hatukwai hata kuwa na mawasiliano kabisa.
Tukaanza story moja mbili yeye ameshaolewa sasa ana mtoto mmoja na mimi pia nipo na familia yangu, Tulizama kwenye story hadi tukasahau kilichotupeleka pale.
Story zillikuwa nyingi mno alinieleza kila kitu kuhusu Mme wake mwisho tukajikuta tuko kwenye makubaliano ya kwenda kukumbushiana.
Ilikuwa ngumu kwa kila mmoja wetu ila mwishowe shetan alitushinda tukajikuta tukitoka eneo la mkutanon majira ya saa 11 jioni.Nikaita tax ili kuondoa ushaid yeye akaacha gari yake palepale uwanjan na mimi nikaacha hapo hapo.
Tukazama kwenye Tax mpaka mafichon nikalipa room tukazama ndani nikaagiza kila kitu faster faster kikaletwa huko room.
Binti ni mrefu mweupe anaumbo namba nane na si haba Mungu kamjalia ana kazi nzuri so anavijisent vya kujaza Harrier mafuta.
Tukaanza kula na kunywa vitu pale mara nimlishe mara anilishe mara aninyweshe kinywaji changu kwa mdomo wake.....Hheheheeh
Mambo ikapamba moto tukasahau chakula na vinywaj mara nimmwngizie mkono ndan ya sketi yake fup ya suti aliyokuwa amevaa huku nayeye akipanua miguu na ndimi zikipokezana mate.
Ghafla akasimama akaanza kuvua nguo kwamba lakin hatu-do leo ni romance tu nikamwambia poa.
Akavua kila kitu na mimi chap chap nikavua kila kitu tukabak kama tulivyozaliwa halafu eti ni Romance tu.
Tukarud bed nampapasa mapaja anapanua miguu huku akiwa nae ameshikilia kati kati ya miguu yangu akipapasa kidogo nikamlalia kwa juu yake akatanua miguu yote nikamlalia akiwa ametanua miguu huku akiguna na kunilamba masikio na huku akizungusha kiuno chake taratiiiib, Kushtuka tayar saa mbili tukatoka tukapiga bafu Tax ikaja tukaenda chukua Magar uwanjan kule, kwan pale uwanjan wakat wa mkutano ulinz ni mpaka asubuh.
NDIYO HIVYO SASA.

ten years...hujui undani wa maisha yake...kirahisi rahisi eti unakumbushia enzi...na story yako no mention of condom it is full ngono nzembe. Alikwambia kuwa hatumii ARV?

kweli elimu ya tz ni feki
 
Sasa kapimeni UKIMWI.

Hayo kwa nyinyi wala hatuoni ajabu ikiwa wachungaji wanabandua mpaka kondoo wachanga sasa nyinyi kondoo mliokubuhu tutegemee ni zaidi ya kuambukizana magonjwa ya zinaa?
 
ndio maana jana Maxence analalamika kwamba analipia servers 3 kila moja USD 1000 kwa mwezi kumbe wajaza servers wenyewe ndio nyie.
 
Back
Top Bottom