Yaliyonikuta jana jioni

Yaliyonikuta jana jioni

Nimeupenda ubeti wa mwisho na jinsi ulivomalizia... NDIO HIVYO SASA! hahahahahaa!
 
Hivi ndo vitu vinanifanya nisioe. Eti kwenye neno la Mungu, mnaenda kuzini ptuuuu. Ujinga mtupu. Kukumbushia enzi my foot.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

nahisi kuoa bikra ndo suluhisho lako.
 
Binadamu tu dhaifu but this is too much, hata kama nina ukame kusepa kwenye mkutano wa injili bado mimi fanya.
 
nipo Kaizer nafanya utafiti wa bunduki zisizo na risasi, lol
 
Last edited by a moderator:
Yule hakuwa mwanamke,alikuwa ni SHETANI akivaa vazi la mwanamke unayemfahamu tena mliekuwa na mahusiano hapo kabla,lengo lake ilikuwa kukuvuruga usiweze kupata NENO la UZIMA.Wala si jambo la kujivunia,inakupasa utubu umrudie MUNGU wako.
 
mh kujidai nayo wakat unaona shetwain kakupga bao...pole. mwakasege atakua disappointed sana akisikia hii story.
 
Back
Top Bottom