Yaliyonikuta jana jioni

Yaliyonikuta jana jioni

hakuna aliyemsafi. Kwan ukitenda upuuzi kama huu lazma ulete jukwwaan?? Kwan angekaa kmya angeathirka nn?? Nimejawa na hasira gafla aiseee

Relax bana we umemind mi nimeburudika
Ila kwanini umemind hivo umehisi Manuu kamfanyizia wife wako nini?
 
Ee mwenyezi MUNGU rudi haraka ili uangamize kizazi hiki kilichojaa laana kama ulivyofanya kwa Sodoma
na gomora,Amen.
 
alikunini huyo hadi umfungie vioo ivoo!!
acha tu ila no hivo ...never never.najua hataenda mbinguni so at least huko mbinguni sitamuona tena nitakaa kwa raha!
 
Your move expounds me!.. Ngoja niwahi ile post ya Zanzi... hivi ipoee!

Nimeshaisave hii thread mods wakifanya yao akuuuu sina hasara mie
nafungua zangu documents microsoft yangu kitu hichoooo
kwa raha zangu.....
 
jamaaa utazan bado upo kwenye joto....hahahahaha akapanuwa kwikwikwi
 
Aisee halaf ni mkutano wa injili mlikuwepo. Hahahaahaha! kazi sana.
 
Hahaaaa... aisee nalaukwa aisee. ntakuPM.
acha tu ila no hivo ...never never.najua hataenda mbinguni so at least huko mbinguni sitamuona tena nitakaa kwa raha!
 
umuhimu wa kutafuta bikra ni muhimu sana..............

yaani wa zamani ukichomekea tu hata hawana NO kabisa.
 
Yaani acha kabisa. Kutoka kwenye mahubiri ya Mwakasege hadi GUEST kenye uzinzi

Na mkirudi home kwenu kwa wenzi wenu hamkawii kusema oh 'Roho wa Bwana' alishuka kwenye mahubiri leo kumbe ni roho wa uzinzi.
 
Nimepatwa na hasira ghafla watu kama nyinyi adhabu yenu ni kupumuliwa kisogon huku ukichukuliwa picha na kurushwa kwenye net. Wakat mwingne nataman sana nmjue mkeo ili naww uone raha ya kugongewa.........m s e n ge kweli ww.

punguza jazba ,,,,,,,,,,

ndiyo hali halisi katika ulimwengu wa mapenzi...........

take it au , ufe na presha siku si zako.
 
aise ujue ndo mshapeana ukimwi hivyo
Huyo mwanamke uliyemgegeda jana ni mke wangu aise na kwa taarifa yako sisi ni waathirika wa gonjwa hatari la ukimwi samahani sana kwa kukupotezea maisha yako wewe na mkeo

na kiukweli kupata ukimwi ni rahisi sana,,,,,,,,,,,,

hao hata hawakuwa na mawasiliano kwa miaka 12.........

wamekutana tu , wamemalizana ............. na baada ya hapo no mawasiliano no nini ni kupotezana tena.

wanarudi zao home wamejikaushaaa kwa wenzi wao, no fumanizi no suspicion maisha yanaendelea na kaukimwi unampatia mwenzi wako.
 
Back
Top Bottom