Yaliyomsibu kaka yangu

Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.


Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".

Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.
Kama jamaa alivyosema hapo juu. Kama huna HIV inatisha mkuu
 
Ujue sielewagi hii kitu aisee inatokea vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni

-independent
-career
-utakubali two girls

Woman?
Kwani lazima niwe na vigezo kama vua huyo wa kwanza?
Huoni huyo wa kwanza kamuangusha, bora mie dependant.
 
Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ex darling kwahiyo abstaining umeikataa kabisaaa?
 
Ujue sielewagi hii kitu aisee inatokea vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kupitia hyo reply hapo juu unaweza kupata mwanga japo kifuchu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye amemuacha kisa ya kuwa anatumia dawa au alimuacha kisa nn?
mwenywe mapenzi ya kweli anaweza kuona mbali hizo pingamizi
We mapenzi ya dhati mbele ya ngwe ngwe[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kwani lazima niwe na vigezo kama vua huyo wa kwanza?
Huoni huyo wa kwanza kamuangusha, bora mie dependant.
Sasa unakuwa na Ukimwi na bado dependant??? Afadhali kifaduro kinavumilika.
 
Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.


Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".

Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MO11 hebu ukuje uniambie hizo news utazipokeaje?
 
Nasikia anaetumia dawa hana tatizo. Mwambie kaka yako aache unyanyapaa[emoji85][emoji85][emoji85]
Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…