Yaliyomo Yamo.............

Yaliyomo Yamo.............

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.




a2.jpg
 
Hivi bado tunaendelea kutoa zawadi?
 
Kutoa zawadi ndicho kilichompeleka huko, huyu jamaa anapenda kuzurura na kupoteza muda tu huko ulaya...
 
Jembe Pombe Magufuli namuona anafurahia dili la mkuu!
 
Ok forget kilichomo humo ndani, hivi tanzania huwa hatuna zawadi zingine mbali na hivi visanduku? Si mara ya kwanza kuona aina hii ya zawadi kutolewa na viongozi wa nchi hii!
 
Hivi dah speechless.....hatuwezi kaa na kuwaza tufanyeje ili wanafunzi wa Ndonga primary wasome katika majengo mazuri na madawati tunakaa kutumia kodi za wanyonge kwenda kutoa zawadi?
 
Huyo wakatikati ni nani?
karibu wote ni wa katikati au unamaanisha demu? ni nyumba mpya hiyo ya Mkulu acha huyu mweusi ambaye ni balozi Liberata .............sasa hivi ni mkwe wa .......wewe fananisha sura
 
Hivi dah speechless.....hatuwezi kaa na kuwaza tufanyeje ili wanafunzi wa Ndonga primary wasome katika majengo mazuri na madawati tunakaa kutumia kodi za wanyonge kwenda kutoa zawadi?

Hivi wao wakija wanatuletea zawadi gani?
 
Back
Top Bottom