Yaliyojiri wakati wa mkutano wa Rais Magufuli na Rais Felix Tshisekedi

Tshisekedi kaliona hilo ndo mana anatafuta back-upp.
Mtu wetu nae ndumila anakula huku na huku,tumpe muda labda anapima uzito.
 
Cha muhimu ni sisi kuitumia hiyo fursa siyo kuwaachia kina Kagame
Una maana gani hapa 'jmushi'?
Sijui, na wala sidhani (in a literal sense) kuwa unamaanisha hayo uliyoandika katika mstari huo.

Maoni yangu ni kwamba Tanzania inaweza kufaidika sana kuwa na ushirikiano wa karibu na DRC, ikiwa ni pamoja na kukuza biashara nzuri kati ya nchi hizi mbili.
DRC ina watu karibia ya 83 milioni. Ujirani wake na sisi ni faida sana kwetu kibiashara. Hizo mali nyingine walizo nazo, baadhi yake zitahitaji kusafirishwa kwa njia za reli/barabara hadi bandarini. Hiyo pia tukijiweka vizuri tutafaidika nayo.

Tungeamua kikwelikweli, tukatia nia ya kuzalisha bidhaa za kawaida tu za viwandani ambazo zinatumiwa na watu wengi wa kawaida, bila shaka hili lingetufaidisha zaidi hata kuliko kutegemea huo utajiri wa madini ulioko huko. Vifaa vya ujenzi, kama saruji, bati, nondo, n.k., hivi viwanda vyetu wangejiimarisha sana wakijuwa soko lipo. Ndio maana wenzetu wa hapo kaskazini wanahangaika sana. Kama ni mfuatiliaji na msomaji mzuri wa maswala haya, ungegundua wanavyohangaishwa na namna ya kwenda kuchuma Congo. Tofauti yao na sisi, ni pamoja na hilo unalomaanisha katika sentensi yako hapo juu. Mimi nisingependa tulitegemee hilo.
Kuna sehemu uliwazungumzia 'mabeberu'. Hivi unajua njia mpya wanazotumia sasa katika kutafuta kuvuna ambako hawakupanda? 'Concept' ya 'Gateway/hub', ndio njia mpya. Tutaona mihangaiko mingi sana huku pembeni, Congo ikitulia. Lakini tukitumia vichwa vyetu vizuri, Tanzania itafaidika sana.
 
Nilichomaanisha ni hicho kuwa Rwanda chini ya Kagame ndo wanufaika wakubwa kwenye hayo madini.

Pia kama umepitia mabandiko ya nyuma, siyo tu kwenye hayo madini. Fursa ni nyingi mno inapokuja kwenye mahusiano yetu na Congo.

Otherwise pamoja tu.
 
Mkuu Kalamu1 , kuhusu kusoma habari za maeneo hayo huwa nafanya kujiupdate. Lakini nafahamu historia vyema.

Hata migogoro chanzo chake ni hao mabeberu tu, ambapo Mfalme Leopold wa Ubelgiji, aliwapandikiza hayo matatizo, mfano Ituri conflict(Hema vs Lendu)
 
Vurugu za Burundi Kwa sasa sio Kama za kipindi kile haiko EAC, Naamin zitaisha maana mambo yanaenda vizuri, na DRC itakuwa safe side na kupunguza zile vurugu maana sasa Wakiendelea kuivuruga Atakuwa na nguvu ya kusema, nguvu ya kuitumia Tanzania Katika kusuluhisha na kuwakanya Rwanda na Burundi

DRC na Burundi watakuwa washirika wakubwa wa Tanzania Katika EAC Kwa mantiki hiyo, tutakuwa tumepata mtu muhimu kiuchumi

Ndio maana DRC Katika nchi zote za EAC ameomba Tanzania pekee ndio amfundishie vijana wake Katika mambo ya jeshi na Usalama
Hivi mbona Burundi vurugu hazijatulia mbali na kujiunga na EAC ??
 
Tanzania na Congo DR wanaweza wakafanya biashara gani ktk mazingira haya ambapo leo ukitaka kwenda kwenye nchi yoyote hapo lazima ulimwe VISA. Hizi ni siasa tu zilivyozoeleka.
 
Hivi kwanini wkt wa mobutu sijawahi kumuona mobutu akitia mguu hapa kwetu au marais kwenda congo, je tulikuwa na bifu nao au ilikuwaje mnaofatilia historia?
Bifu ilikuwa kubwa mno, maana tulimhifadhi Laurent Kabira ambaye badae alimpindua hiyo Mobutu. Kwa ufupi ndo hiyo ilikuwa sababu!
 
Tukiungana na wacongo kiukweli kabisa na kushirikiana, mataifa yetu mawili yatapiga hatua kubwa na wananchi wake kunufaika sana!🙏🏾 Kwanza kuna wanaodhani tumechelewa kidogo...

Ni wakati wa kuichukuwa Congo sasa, halafu mtaona jinsi mabeberu watajileta. Maana mcongo anatusikiliza. Lakini pia beberu ndo mnufaika mkuu kule Congo, hataki kuwepo na amani!

Tena tuungane nao tuwe kitu kimoja ikiwezekana, wengine watafuatia. Pale Congo, makampuni ya mabeberu ndiyo yanayochota rasilimali kama shamba la bibi. Yenyewe yana vikosi vya majangiri huko porini wanavyovifadhili! Hadi Kagame naye! Na ndiyo maana mabeberu na Rwanda, Rwanda na wao!
Ikibidi wanajeshi wetu wakashoke doria huko ukanda wote wakishirikiana na wakongo kulinda maslahi yetu
 
Kagame ndo swahiba na role model wa mkuu wako sasa
Tukiungana na wacongo kiukweli kabisa na kushirikiana, mataifa yetu mawili yatapiga hatua kubwa na wananchi wake kunufaika sana! Kwanza kuna wanaodhani tumechelewa kidogo...

Ni wakati wa kuichukuwa Congo sasa, halafu mtaona jinsi mabeberu watajileta. Maana mcongo anatusikiliza. Lakini pia beberu ndo mnufaika mkuu kule Congo, hataki kuwepo na amani!

Tena tuungane nao tuwe kitu kimoja ikiwezekana, wengine watafuatia. Pale Congo, makampuni ya mabeberu ndiyo yanayochota rasilimali kama shamba la bibi. Yenyewe yana vikosi vya majangiri huko porini wanavyovifadhili! Hadi Kagame naye! Na ndiyo maana mabeberu na Rwanda, Rwanda na wao!
 
Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi hao wote wanatakiwa wawe chini yetu.
Kwa kenya tumechelewa it will take over 30 yrs to come,DRC ni swala la wao kuwa na amani tuu hakuna nchi itaigusa kiuchumi kwa Africa,ni kubwa,resources rich na imepakana na nchi nyingi sana na yenyewe ndio itakuwa inasaidia kukuza maendeleo ya wengine
 
Kwani ww mkenya au mtz
 
Congo DRC is filthy rich, but it's far from being the richest country in the world. USA alone has an estimate of USD Trillions 45 worth of resources, double the size of Congo DRC. Well Russia has resources worth USD Trillions 75, making the Congo DRC look like a kindergarten baby.....
Kwa Africa ndio richest na ukiangalia position yake central Africa ni fursa nyingine ya utajiri tofauti na Rassia na usa ambazo ni mabeki wakati drc ni centerhalf
 
DRC CONGO is a big deal, Rais Magufuri wetu komaa nao, naijua DRC Kuanzia Goma,Bukavu, Kivu yote, Katanga, Kinshasa nk, lile linchi likubwa na population ni kubwa inatakiwa tuifeed sisi kutokea Tanzania..

Tuanzie na ATCL, peleka route hata tatu kwa wingi pale Lubumbashi, route mbili kwa wiki Dar - lubumbashi - Kinshasa.
Weka meli mbili za uhakika pale Kigoma, JWTZ and Tiss must keep watching daily operations of our ship pale, rekebisha hiyo reli ya Kigoma iweze kuwa reliable na efficiently na pale Kigoma weka Kontena terminal na mizigo yao jamaa wa ukanda ule iishie pale kigoma wasije Dar.. Jenga Kontena terminal pale Tunduma focused on Lubumbashi and Katanga in general..lete pia ndege ya mizigo wape Posta na wajenge yard ya mizigo kinshasa airport pale, wajenge terminal pale entebe pia ikiwezekana South Sudan, Comoro na Madagascar pale.

Mh Rais tunauwezo kweli wakuwablackmail manyang'au wakatulia ni very simple saana --- tuzalishe gas ya kupikia majumbani kupitia gas yetu kusini tuwapelekee kwa bei chee kwenye mitungi, Ile pipeline ya Mafuta tanga pale tujenge refinery plant tuwapelekee manyan'gau diesel, petrol na oil lazima wawe wapole kabisa.. Hii gas ya kupikia kule SADC, EAC na kwingine karibu tutawalisha sisi maana itakuwa cheap, diesel, petrol na oil wote wataifuata hapa..

Ngoja leo niishie hapa kwanza..
Ukisema wa concentrate Kigoma tuu unapotea mkuu,kwenye bandari wajenge kasanga,kipili karema na Kigoma na ikiwezekana roads zote za miji ya mwambao zipitike,,point zingine is okey yaani eastern Congo tuitake yote kwa kutumia miji au mikoa tunayopakana nayo
 
Cha muhimu ni sisi kuitumia hiyo fursa siyo kuwaachia kina Kagame
Sasa Mungu hawezi kupa kila kitu Wanyarwanda hawana rasilimali nyingi na ni tiny country so mungu kawapa sharp mind ndio watakula kwa jasho ili wa survive,hapo sio shida kutumia akili zao kutafuta chakula
DRC Congo,Tzn,na South Sudan ndio nchi tajiri sana kwa rasilimali hapa Africa mashariki na Kati plus Angola lakini tuko hoi kiuchumi kwa sababu uwezo wetu wa akili ni mdogo
 
Back
Top Bottom