Yaliyojiri wakati wa mkutano wa Rais Magufuli na Rais Felix Tshisekedi

Congo DRC ni tajiri sana lakini siyo ya kwanza kama ulivyoipamba hapo mwanzo. Kiingereza sahihi ni "One among the wealthiest" na siyo "the wealthiest" : Your assertions are full of hyperboles.....
Mimi nimeweka source ilivyo bila kubadili chochote, baada ya kutaka kujuwa specifically, nimekuwekea source ya “world atlas”, shida iko wapi? Congo iko top ten ya nchi matajiri duniani resource wise halafu una downplay?

Eti kuipamba namba moja. Wanyarwanda bhana!😂
 
Malcom Lumumba ,Read between the lines...”wildly considered the richest”, halafu hapo ni pamoja na hila za mabeberu na vibaraka wao kujaribu ku downplay utajiri wa Africa kwasababu zao ambazo si nzuri anyways. Lakini bado iko namba tisa
 
Mimi nimeweka source ilivyo bila kubadili chochote, baada ya kutaka kujuwa specifically, nimekuwekea source ya “world atlas”, shida iko wapi? Congo iko top ten ya nchi matajiri duniani resource wise halafu una downplay?

Eti kuipamba namba moja. Wanyarwanda bhana!
Ninachofurahi ni kwamba leo umejifunza kitu kipya, kesho huwezi kwenda mbele ya kadamnasi ukaropoka tena kwamba Congo DRC ndiyo nchi inayoongoza kwa utajiri duniani halafu ukaweka mtandao wako wa jalalani kama ushahidi. Karibu sana kiongozi na tupo pamoja.....
 
Malcom Lumumba ,Read between the lines...”wildly considered the richest”, halafu hapo ni pamoja na hila za mabeberu na vibaraka wao kujaribu ku downplay utajiri wa Africa kwasababu zao ambazo si nzuri anyways. Lakini bado iko namba tisa
Mushi, Congo ni tajiri sana na nafurahi kwamba umeipa heshima yake ya utisa kama inavyostahili. Tena katika hili hakuna hujuma ya kutaka kuishusha chini Congo DRC, kwasababu nchi kama Urusi ambayo ina eleven time zones na iko kwenye mabara mawili ni lazima iwe na rasilimali nyingi tu. AU Marekani ambayo imezungukwa na bahari kuu tatu ni lazima iwe na utajiri mwingi, kwenye ukweli hakuna hujuma.
 
Ninachofurahi ni kwamba leo umejifunza kitu kipya, kesho huwezi kwenda mbele ya kadamnasi ukaropoka tena kwamba Congo DRC ndiyo nchi inayoongoza kwa utajiri duniani halafu ukaweka mtandao wako wa jalalani kama ushahidi. Karibu sana kiongozi na tupo pamoja.....
Jinga wewe. Umfundishe nani wewe idiot?

#BureKabisa
 
Wasiwasi wangu katika DRC kujoin EAC ni Rwanda na Uganda

But Naamin tutacheza karata vyema na DRC wakishajoin Naamin vurugu DRC zitaisha hasa kutoka Rwanda na Uganda

Naamin hata mabeberu hayataki DRC wajoin EAC

Hivi mbona Burundi vurugu hazijatulia mbali na kujiunga na EAC ??
 
Jinga wewe. Umfundishe nani wewe idiot?

#BureKabisa
Siyo vizuri kumtukana mwalimu wako, unaweza kupata laana. Lakini binafsi nimepata sana faraja ulivyoelewa haraka sana na kuamua kutumia vyanzo mbalimbali, pamoja na kujihangaisha mtandaoni na kugundua kumbe Congo DRC ni ya tisa na siyo ya kwanza kwa wingi wa rasilimali.
 
Niwekee bandiko nililosema ni ya kwanza. Wewe umfundishe nani kitu gani mkuu? Ni kitu gani umemfundisha nani hapa? Don’t sound like an idiot.
 
Back
Top Bottom