Yaliyojiri wakati wa hafla jiwe la msingi ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli Ziwa Victoria za Mv Victoria na Mv Butiama

Bwashee hiyo inaitwa uzinduzi wa ujenzi wa meli na ni jambo la kawaida sana huko duniani!
Haelewi mjinga huyo maana ya jiwe la msingi anafikiria ni uzinduzi wa majengo ya tofali tu!!! Jiwe la msingi huzinduliwa popote penye any type ya engineering construction.
Huyu mketa mada atakuwa fundi maikao.wale wajenzi wanaotembea na mwiko kwenye kisulphate
 
..Raisi alipaswa kusuburi ujenzi wa meli ukamilike halafu yeye aizindue na kuipa jina.
Poor you madhara ya shule za kayumba haya.Urgument hi inaonyesha weakness ya shule ulizosoma hasa za msingi
 
Mkuu unashangaa nini?
Si umeona mwenyewe kuwa Tanzania tukithubutu tunaweza.
Jiwe la msingi safi kabisa, na litaelea na meli!!
 
Pole Sana kwa uwezo mdogo wa akili ulionao hakikisha wanao wanasoma elimu ya kueleweka vinginevyo familia yako itakuwa kiwanda Cha kuzalisha kizazi Cha waking.Hiyo ilikuwa foundation stone ya kuzindundua construction .Neno construction sio ujenzi wa jengo la matofali tu Ujenzi wa satellite waweza zinduliwa
 
Nyie endeleani na hizi propaganda za kijinga, na msisahau pia kuwaelezea wapiga kura kule kijijini.
Mwisho wa siku mje mseme mmeibiwa kura.
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Acha Ituue!!!!😅😄😃😂😁
Hapa Kazi Tu.
 
Kama wote ni wenyeviti wa vyama vyao na mmoja amepewa dhamana kwa muda anashindwa kutambua uwepo wa mwingine basi kunashida kubwa sana mahali fulani. Siasa nimeamini zinawenyewe wengine hawaziwezi,yani kila event mtu lazima achemke mahali fulani inasikitisha mno
 
Pole sana mke mdogo wa Freeman
 

Umeandika nini hiki?

Mimi sijakuelewa maana umeandika kimipasho pasho hivi

Huyu Free-man (mtu huru) ni nani? Amefanya nini?

Rudia tena kuandika ili tukuelewe
 
Mlitaka mumpelekeshe kama mlivyomfanyia JK, bahati nzuri kwa nchi yetu ni kwamba jamaa hayumbishwi siku zote anasimamia katika anachokiamini.
Anachokiamini ni uwendawazimu!!
Mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kununua mindege kienyeji wakati watoto wanakosa nafasi kwa kutokuwa na madarasa kuendelea na masomo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…