Yaliyojiri wakati wa hafla jiwe la msingi ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli Ziwa Victoria za Mv Victoria na Mv Butiama

Anachokiamini ni uwendawazimu!!
Mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kununua mindege kienyeji wakati watoto wanakosa nafasi kwa kutokuwa na madarasa kuendelea na masomo!
Wewe ndio mwenye mawazo ya mwendawazimu usiyejua kwamba zahanati zinajengwa nchi nzima, miradi mikubwa inafanikishwa nchi nzima.

Shule zinajengwa nchi nzima, tatizo la akili za kimasikini, kwamba kwa sababu mimi sina uwezo wa kupanda ndege basi ndege sio za muhimu.

Mawazo yale yale ya sisi masikini, sema mimi masikini usitumie wingi.
 
Kusema kuwa kuvuka hapo yanatumika masaa 2 ni uwongo wa hali ya juu. Nimevuka mara nyingi.

Ukipandisha gari lako MV Misungwi, inachukua kama dakika 15 mpaka 25. Na MV Sengerema huchukua daki 25 mpaka 30. Labda kama hayo masaa mawili wamejumlisha na muda wa kukaa foleni ikitokea kuna magari mengi au kivuko kimojawapo kikawa kimeharibika.
Kuvuka wanamaanisha muda unaotumia kutoka upande mmoja, say kigongo kwenda Busisi, ndio walichomaanisha, hawaongelei process ya kuvuka, pale kukaa masaa ma2 ni kweli kabisa unaweza kaa especially siku za weekends foleni ni kubwa mno
 
Back
Top Bottom