MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,689
- 6,499
Mabeberu tunakomenti wapi?
nendeni chumbani mkatafute wachumbaMabeberu tunakomenti wapi?
nendeni chumbani mkatafute wachumba
Ufipa.Mabeberu tunakomenti wapi?
Rais anaendela kusema kuwa daraja hili litaondoa foleni kuingia na kutoka nje ya jiji ambayo imekuwa kero kubwa kwa watanzania. anasema daraja hili linajengwa kwa mkopo kutoka serikali ya korea.
rais anasema serikali ya korea imekuwa ikishirikiana na Tanzania katika mambo mengi ya maendeleo ikiwamo ujenzi wa daraja la kikwete mto malagarasi,hospitali ya mhimbili huko mloganzila nk
rais anashauri daraja hili liitwe tanzanite bridge kuyatangaza madini hayo yanayopatikana tanzania pekee
Du....hututakii mema we ndugu yangu.Mabeberu tunakomenti wapi?
Nyuma ya huu uziMabeberu tunakomenti wapi?
Dawa ya beberu ni fimbo ya mti wa mpera!Mabeberu tunakomenti wapi?
Ndio wale wa kuchelewa kurudi kwa visingizio vya msongamano wa magari wakati walikuwa kuliwa?.
Kina Bashite hawataki kusikia hilo. Kazi yao ni kauli mbiu ya kuunga mkono bila ya kujua maana yake.Nimefurahi kuona mwakilishi na balozi wa Korea wakikumbusha kuwa hii ni kazi iliyoanzishwa na Kikwete.
Wanaopiga picha ni wasukuma sio mie mzaramoNa hautakuja kuona umuimu wake, ila Nyie ndio mnakuaga wakwanza kupigia picha na kuzituma kwa nduguzenu kuwaonyesha mpo Dar.