darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,726
- 16,953
Wanaopiga picha ni wasukuma sio mie mzaramoNa hautakuja kuona umuimu wake, ila Nyie ndio mnakuaga wakwanza kupigia picha na kuzituma kwa nduguzenu kuwaonyesha mpo Dar.
Wanaopiga picha ni wasukuma sio mie mzaramoNa hautakuja kuona umuimu wake, ila Nyie ndio mnakuaga wakwanza kupigia picha na kuzituma kwa nduguzenu kuwaonyesha mpo Dar.
Nimefurahi kuona mwakilishi na balozi wa Korea wakikumbusha kuwa hii ni kazi iliyoanzishwa na Kikwete.
Foolish foolkila kukicha wanaamka na habari mbaya tu
Tamko la zanzibar limechina,kosa kubwa wanarudia kwa kudhani ccm itaondolewa na wazungu,wametoa tamko kwa kiingireza kutuonesha kuwa hawapo kwamaslahi ya watanzania
Hawezi kuthubutu tena.Leo pia amewaalika CHADEMA?
Mkuu, inflation rate haiwezi kuwa 0 % hata udhibiti vipi.wewe ndo kilaza, nani hajui hilo? Hiyo Mishahara iliyopangwa na Kikwete nani anailipa leo? sharia ipi au kifungu gani cha Katiba kinasema mishahara ipande kila mwaka? Jambo la msingi ni kudhibii mfumuko wa Bei. kupandika mishahara halafu bei ya kineriti, chumvi, unga, Maharage vinapaa mara dufu ni kazi bure. Wadanganye wajinga wenzako
Milele harudii tenaLeo pia amewaalika CHADEMA?
Sio wajinga kama wewe, watumishi hawajapewa haki yao. Hawali madaraja Au barabaraSerikali hii hii Wapinga Maendeleo kamwe hawawezi kuipenda.
mkoa gani hapa tanzania watu wanakufa njaa?Watu wanakufa njaa yeye yupo bize kuzindua madaraja.
kupanga ni kuchagua RESOURCES ARE SCARCITY.Hatupingi maendeleo ila tunamuona hafai kwasababu ya ukandamizaji hebu jiulize ni kwanini tunalipwa mishahara ya Kikwete hadi leo hii.
Kamwe sitaipenda.Kila napokumbuka mambo haya naichukia kabisa:-Serikali hii hii Wapinga Maendeleo kamwe hawawezi kuipenda.
Kweli vinashuka tu mawinguni..akili za bavicha kama nzi.Ukishaendeleza watu kielimu,Afya na Kiuchumi hivyo vingine vinakuja automatically.
Wanakufa njaa wavivu wa kufanyakazi. Sembe sasa hivi ni sh. 600 tu
Hakuna rais hapa Tanzania ambaye aliingia madarakani akaanzisha mambo yote mapya ya kwake bila kurithi na kuendeleza ya waliomtangulia. Hata Nyerere alirithi mambo mengi tu ya kikoloni (waingereza) alipoingia ikulu ya magogoni na hata mengine hadi leo tunaendelea nayo (zikiwemo sheria n.k). Hata Jakaya Kikwete alipoingia madarakani 2005 alitekeleza na kuzindua mambo mengi tu yaliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tatu ya Benjamini Mkapa kama vile ujenzi wa barabara za lami na madaraja, ujenzi wa udom, ujenzi wa shule za sekondari za kata na mengine mengi. HIVYO MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI AU KUZINDUA MAMBO NA MIRADI YA MAENDELEO ILIYOACHWA NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE NI JAMBO LA KAWAIDA SANA HAKUNA CHA KUSHANGAA AU KUMHUKUMU (Huo ni mwendelezo-succession ya utekelezaji wa ilani ya chama). Hata yeye akiondoka madrakani watakao kuja watakuta mambo mengi tu atakayokuwa ameyaanzisha yanasubiri utekelezaji au uzinduzi.Nimefurahi kuona mwakilishi na balozi wa Korea wakikumbusha kuwa hii ni kazi iliyoanzishwa na Kikwete.
Sasa porojo ndefu za nini? Umenisoma lakini?Hakuna rais hapa Tanzania ambaye aliingia madarakani akaanzisha mambo yote mapya ya kwake bila kurithi na kuendeleza ya waliomtangulia. Hata Nyerere alirithi mambo mengi tu ya kikoloni (waingereza) alipoingia ikulu ya magogoni na hata mengine hadi leo tunaendelea nayo (zikiwemo sheria n.k). Hata Jakaya Kikwete alipoingia madarakani 2005 alitekeleza na kuzindua mambo mengi tu yaliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tatu ya Benjamini Mkapa kama vile ujenzi wa barabara za lami na madaraja, ujenzi wa udom, ujenzi wa shule za sekondari za kata na mengine mengi. HIVYO MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI AU KUZINDUA MAMBO NA MIRADI YA MAENDELEO ILIYOACHWA NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE NI JAMBO LA KAWAIDA SANA HAKUNA CHA KUSHANGAA AU KUMHUKUMU. Hata yeye akiondoka madrakani watakao kuja watakuta mambo mengi tu atakayokuwa ameyaanzisha yanasubiri utekelezaji au uzinduzi.
Tunapaswa kumpongeza rais wetu kwa kusimamia barabara utekelezaji wa miradi ya maendeleo no matter aliianzisha yeye au serikali zilizotangulia. Issue kubwa hapa ni utekelezaji maana mradi unaweza kuanzishwa na ukafia hatua za mwanzo kabisa kwa sbabu ya usimamizi mbovu au kutoupa kipaumbele!
Siyo porojo maana comment yako inamaudhui ya kutaka kuonyesha(kama kejeli) kuwa huo mradi hakuanzisha rais Maghufuli bali rais mstaafu Kikwete hivyo kama vile Magufuli hana nguvu katika huo mradi ndio maana nikashout out hizo unazoziita porojo mjapo ndio ukweli wenyewe!Sasa porojo ndefu za nini? Umenisoma lakini?
Au kufurahia kuwa Magufuli anaendeleza mradi ulioanzishwa na Kikwete ni vibaya? Basi hata balozi na msimamisi wa korea wamefanya makosa kuligusia hilo.
Binafsi naona ingekuwa vbaya angeiwacha mradi hiyo.
Kwa maana hiyo basi, miradi yote inayoendelea sasa ni ubunifu wa CCM na Marais wote wanatekeleza imani ya CCM.
Au siyo?
Unaudhika ukisikia mradi umeanzia kwa Kikwete?Siyo porojo maana comment yako inamaudhui ya kutaka kuonyesha(kama kejeli) kuwa huo mradi hakuanzisha rais Maghufuli bali rais mstaafu Kikwete hivyo kama vile Magufuli hana nguvu katika huo mradi ndio maana nikashout out hizo unazoziita porojo mjapo ndio ukweli wenyewe!
OK NIMEKUSOMA CASE CLOSED!