Yaliyojiri Uwekaji wa jiwe la msingi Daraja la Selander

Serikali hii hii Wapinga Maendeleo kamwe hawawezi kuipenda.
Tunataka maendeleo na haki...how would you justify uzuri wa barabara 8 wakati umevunja nyumba za kuishi za watu 100,000 unaotaka wakupende?
 
Wanakufa njaa wavivu wa kufanyakazi. Sembe sasa hivi ni sh. 600 tu
Kazi gani unataka watanzania wafanye? Kama nilinunua korosho kwa wakulima kwa lengo la kuja kuuza ili nipate faida, lkn kiongozi mmoja mpumbavu anataka nioneshe shamba nilikolima hiyo korosho kuna kosa nikimpasua kichwa kwa gobore?
 
Sawa miaka ya nyuma Korea ilikuwa sawa na sisi leo hii wanatupa msaada . Walichofanya "ondoa blaablaa kuwa mzalendo " ni hilo tu , je linahitaji elimu ya chuo kikuu ?? . Tujizatiti , tutawakaribia na hata kuwapita
 
"Mradi unagharamiwa na fedha za mkopo Serikali ya Jamhuri ya Korea pamoja na Tanzania"

Huyo kiongozi atakayefuatiwa atakufa kwa presha maana deni la taifa litakuwa zaidi ya tilioni 80+
 
Daah..Hatari sana kwa mukhutadha huo
"Mradi unagharamiwa na fedha za mkopo Serikali ya Jamhuri ya Korea pamoja na Tanzania"

Huyo kiongozi atakayefuatiwa atakufa kwa presha maana deni la taifa litakuwa zaidi ya tilioni 80+
 
Unaudhika ukisikia mradi umeanzia kwa Kikwete?

Ikiwa hivyo sasa udhika zaidi...

Ndege mpya pia imeanzia kwa Kikwete.

Train ya SGR imeanzia kwa Kikwete.

Steigler imeanzia kwa Kikwete.

Niendelee?
Kikwete plan nyingi utekelezaji ndo shida
 
Kweli bado kidogo mtu aliyetoka darisalama miaka 6 iliyopita akirudi atadhani kapotea njia na sasa yuko Dubai. Si mchezo awamu hii. Ma ruka juu kibao(flyovers) mabarabara ya njia 8 kibao, madege kibao hadi ya kwenda Kigoma, sasa madaraja ya nguzo moja tu, mengine kwenda Kiga and what have yu!!!!
Tutaishi kama ulaya ulaya soon
 
Wengine wanadai democrasia hawataki maendeleo lakini huko Libya watu walimuchoka Gadafi na maendeleo wakataka democrasia zaidi, sasa tangu wakati huo hata baada ya kifo cha Gadafi hawajawahi kuipata hiyo Democrasia. We acha tucheze time will tell.
 
Tunawaomba ufipa wahamie libya
 
Back
Top Bottom