Yaliyojiri Uwekaji wa jiwe la msingi Daraja la Selander

Kwani wabunge Wa upinzani huwa hawaalikwi? Huwa wwnaalikwa wanavunga, uwachape viboko? Kimsingi Wapinzani hawajui wajibu wao na nafasi yao kwa manufaa ya watu wanaowawakilisha wasingekuwa wanagomea mialiko hii.
Waache kufanya shughuli za maendeleo waje waweke jiwe, sio ushirikina huu
 
Kikwete kweli alikuwa jembe, miradi anayofungua Jiwe ni ile aliyoipanga kuitafutia fedha kuianza na mingine kubaki utekelezaji tu, hapo naona JPM akiwa waziri akionyesha mchoro wa Daraja hilo By the way hongera JPM kwa utekelezaji mzuri hata hivyo kuna kujifunza juu ya umuhimu wa kuwepo diplomasia na mahusiaon mazuri na nchi nyingine. Lakini pia aheshimu jitahada za watangulizi wake.
Trust me mrithi wako hatapata fursa unayopata kuanza kazi smoothly huku akiwa na miradi ya kutekeleza mkononi ikiwa hali hii ya kidiplomasia inaendelea.

N:B SIJAWAHI KUONA UMUHIMU WA HILO DARAJA toka ilipokuwa idea, kuingia mkataba mpaka sasa utekelezaji wake.
Na hautakuja kuona umuimu wake, ila Nyie ndio mnakuaga wakwanza kupigia picha na kuzituma kwa nduguzenu kuwaonyesha mpo Dar.
 
Kikwete kweli alikuwa jembe, miradi anayofungua Jiwe ni ile aliyoipanga kuitafutia fedha kuianza na mingine kubaki utekelezaji tu, hapo naona JPM akiwa waziri akionyesha mchoro wa Daraja hilo By the way hongera JPM kwa utekelezaji mzuri hata hivyo kuna kujifunza juu ya umuhimu wa kuwepo diplomasia na mahusiaon mazuri na nchi nyingine. Lakini pia aheshimu jitahada za watangulizi wake.
Trust me mrithi wako hatapata fursa unayopata kuanza kazi smoothly huku akiwa na miradi ya kutekeleza mkononi ikiwa hali hii ya kidiplomasia inaendelea.

N:B SIJAWAHI KUONA UMUHIMU WA HILO DARAJA toka ilipokuwa idea, kuingia mkataba mpaka sasa utekelezaji wake.
Ni kweli haya yote yalipangwa wakati wa Kikwete na hata huyo Mkorea kaongea kuwa project ilianza kupangwa 2014. shida ni kwani basi hata kusema ukweli tu tunashukuru serikali ya CCM ya awamu ya 4 kuanza na mradi huu na sisi tunaendeleza sera lakini unasikia propaganda. kuna kama Magufuli" jamani Kikwete alifanya mengi tu ila ndio hakuwa na nafanya visherehe kama hivi aliachia wataalamu wafanye kazi zao kimya. leo tumejuwa 2014 kasema mama wa kikorea
 
Serikali hii hii Wapinga Maendeleo kamwe hawawezi kuipenda.
Wakati wenzako wanazindua big projects to get big cuts wewe wapiga debe huku bila manufaa yyt

Nina uhakika wewe mshinda njaa usie na kibarua cha ahakika na ndugu zako huko geza ulole hata huduma bora za kijamii hawana bora liende kunufaisha watu wachache

Watu wakihoji mnadai mabeberu

Tz taifa la wehu
 
Hivi wenzetu duniani wana mbwe mbwe kama Hizi wakiweka jiwe la msingi kwa miradi!?
Kila sehemu hapa duniani wana culture zao. Kama ulaya, marekani au asia hawafanyi hivyo haina maana kwamba na waafrika wasifanye hivyo. Otherwise utakuwa ni utumwa wa mawazo na tamaduni. Kila nyumba ina taratibu na utamaduni wake. NADHANI UMEELEWA !
 
Ni kweli haya yote yalipangwa wakati wa Kikwete na hata huyo Mkorea kaongea kuwa project ilianza kupangwa 2014.
Kwani mradi Wa Umeme Wa rufiji ulianza kupangwa awamu gani ..umesahau hii nchi ilikua inaongoza kupanga kuliko utekelezaji
 
Wanakufa njaa wavivu wa kufanyakazi. Sembe sasa hivi ni sh. 600 tu
Kama were ulivyo mvivu wa kufikiri. Umeshajiuliza mkulima kauza mahindi kwa bei gani na amepata nini baada ya kutoa gharama za kilimo? Unawaza maugali ugali tu!
 
Nanyinyi wazazi mmeweza kukata viuno mpaka kuzaa watoto watano watano,ila kufyatua tofali hata mbili mbili mnyanyue chumba kimoja cha darasa mmeshindwa!!!!!!

Halafu mnatafuta uponyaji kwenye majukwaa ya uzinduzi
 
Lakini naona leo mheshimiwa hana furaha kabisa, bila shaka ana hang over ya bomu la jana.
 
Rais anaendela kusema kuwa daraja hili litaondoa foleni kuingia na kutoka nje ya jiji ambayo imekuwa kero kubwa kwa watanzania. anasema daraja hili linajengwa kwa mkopo kutoka serikali ya korea.

rais anasema serikali ya korea imekuwa ikishirikiana na Tanzania katika mambo mengi ya maendeleo ikiwamo ujenzi wa daraja la kikwete mto malagarasi,hospitali ya mhimbili huko mloganzila nk

rais anashauri daraja hili liitwe tanzanite bridge kuyatangaza madini hayo yanayopatikana tanzania pekee
 
Back
Top Bottom