Yaliyojiri Uwekaji wa jiwe la msingi Daraja la Selander

Rais anasema wakati mimi na serikali yangu tunajiandaa kuondoka kwenda dodoma, tunaiacha dar ikiwa inapendeza kabisa kuwa jiji la biashara
 
Rais anasema daraja hili linaweza kuitwa Tanzanite bridge, ili kuyatangaza madini hayo ambayo yanapatikana tanzania pekee
 
Nimesikia hichi kitu akikisema...
979d866.jpeg
 
Rais anaendela kusema kuwa daraja hili litaondoa foleni kuingia na kutoka nje ya jiji ambayo imekuwa kero kubwa kwa watanzania. anasema daraja hili linajengwa kwa mkopo kutoka serikali ya korea.

rais anasema serikali ya korea imekuwa ikishirikiana na Tanzania katika mambo mengi ya maendeleo ikiwamo ujenzi wa daraja la kikwete mto malagarasi,hospitali ya mhimbili huko mloganzila nk

rais anashauri daraja hili liitwe tanzanite bridge kuyatangaza madini hayo yanayopatikana tanzania pekee

Hivi ni SALENDA au ni SELANDA?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom