Yaliyojiri Uwekaji wa jiwe la msingi Daraja la Selander

Watu wanakufa njaa yeye yupo bize kuzindua madaraja.
Kwanza wee Wanjiru mkenya. Rais wetu haangaiki na raia wa kenya wanaokufa njaa.
Tanzania sahivi wakulima tunalalamika mahindi/mpunga kuoza coz bei ya chakula imeshuka mnoo. Reason behind ni uzalishaji kuongezeka kwa mara mbili zaidi mwaka huu.
Hata usipofanya kazi bongo hufi njaa mwaka huu
 
alichokuwa anakifanya Kkikwete ni sawa na kumpa mtu Samaki badala ya Nyavu, Subiri JPM amalize muda wake nchi itakuwa ya Maziwa, Ndege, Reli, Umeme, barabara kibao. Tutawasikia mnavyobwabwaja tena maana akili zenu mnazijua wenyewe
Yeye kumaliza muda wake salama kunategemea maazimio 15 ya mabeberu
 
Makonda jasiri, awataja wazi wazi Kubenea na JJ Mnyika kuwa wanajuta kuchelewa usajili hadi umefungwa, amuomba Katibu Mkuu CCM kuangalia possibility ya kufungua dirisha dogo la usajili, ahahidi 2020 DSM ni CCM only.
Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe.
P
 
Kazi gani?! Wawekezaji wenyewe wanahamisha mitaji yao.
Nitajie wawekezaji waliohamisha mitaji yao.Hao hao mabeberu mnaowalamba miguu wanasema Tanzania imekuwa na mazingira wezeshi ya kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
 
wewe ndo kilaza, nani hajui hilo? Hiyo Mishahara iliyopangwa na Kikwete nani anailipa leo? sharia ipi au kifungu gani cha Katiba kinasema mishahara ipande kila mwaka? Jambo la msingi ni kudhibii mfumuko wa Bei. kupandika mishahara halafu bei ya kineriti, chumvi, unga, Maharage vinapaa mara dufu ni kazi bure. Wadanganye wajinga wenzako
Una maana bei kwa sasa ziko chini ?
 
Back
Top Bottom