Matson Chizi hajambo?mijizi haswa..
zenji wamefuta matokeo kama wanamfuta mtoto uji vile..rahisi kweli..
Hii kitu imekaaje wakuu gwaride la JW kunyeshewa mvua bila kuwa na namna ya kulisitiri?
Bado yale majimbo mawili ya upaleni, Ndesamburo ana kazi na nyinyi asipowata mahakamani mjiandae 2020 ccm inafutwa rasmi mkoa wa Kilimanjaro maana hampaswi kuwa hata na mbunge mmoja kule kwa jinsi msivyo na adabu kwa wakaskazini.
Leo TZS/USD = 2,200 natabiri baada ya miaka mitano itakuwa 19,500/dola.
Matson Chizi hajambo?
Mbona tuliaminishwa anakuja fundisha wizi wa kura, ilikuwaje sasa?
Wakuu mbona Tb Joshua hajatokea uwanjani?
ile karatasi kampa magufuli akaisoma afu akaweka kwenye mfuko wa koti afu wakapeana signal magufuli akatikisa kichwa kama ishara ya kuelewaKikwete anakopi dua ama, mwenzie anaomba yeye anatake note
kumbe wengi tumeona eeehKuna memo Jk amemwandikia Magufuli hlf akampa bodygurd ampe, sasa sijui huyu kamwambia nini. Isije kuwa anamdrive
Kwamba na wewe unaamini kitu ambacho hata mimi goigoi wa sheria najuwa Tume ikishatangaza matokeo ya Urais hayahojiwi popote pale, je mabingwa wa sheria kama kina Kibatala na Tundu Lisu wawe hawalijui hili? Watanzania tuna tatizo kubwa sana ni serious tunahitaji consultant kutoka nje.Haaaaa walisema ni ICJ mkuu