Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 191
Naililia tanzania yangu nyimbo ninayoikumbuka toka nipo chekechekea mwaka 1987 inasema hivi tanzania ni nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya wanaililia sana leo inaenda kumaliziwa rasilimali chache ilizobakiza naumia sana ni heri nchi yenye watu wachache wanaojitambua kuliko watu wengi wanaojitambua wachache maamuma wengi