Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
ile karatasi kampa magufuli akaisoma afu akaweka kwenye mfuko wa koti afu wakapeana signal magufuli akatikisa kichwa kama ishara ya kuelewa
Mimi mwenyewe nimeona, asijekuwa anamdrive
ile karatasi kampa magufuli akaisoma afu akaweka kwenye mfuko wa koti afu wakapeana signal magufuli akatikisa kichwa kama ishara ya kuelewa
Siku ya kupiga kura ilinyesha Chato.
Siku ya kutangazwa mshindi ilinyesha Dar(Diamond jubilee na mzazi mmoja).
Leo siku ya kuapishwa Inanyesha Dar (jiji lote ni mvua)
Hii inamaanisha nini wadau?
Hapa ndipo unaweza kusema swala la Mungu, hatimaye sasa Mungu anatuondolea huu mzigo mzito Watanzania. Huyu jamaa atangazwe kama janga la Taifa.
Jamani mkapa yupo kwenye sherehe hizo?.
Jamani mkapa yupo kwenye sherehe hizo?.
Bora mchawi kuliko mtu mwenye Wivu. Dini yangu hunifundisha " Kila mtu na atii mamlaka iliyo kuu " Sijui kuhusu dini zingine au wapagani wanafundishwaje. Cku za mwanadamu duniani ni chache, huna haja ya kukufuru kwa kuwa Mungu ndiye mwenye kesho yako. Demokrasia inahitaji watu waliokuwa kiakili, kwa watoto demokrasia ni mzigo. Hivi UKAWA wanavyojua Demokrasia ni Fisadi Lowassa kushinda? Chadema ilimchafua Lowassa na yeye kaichafua sasa nini kinawauma? Chama cha Nyumbu hicho.
Kikwete is not happy hana namna tu ila angekuwa anaweza angejiongezea siku yani body language inajieleza kabisaaKikwete mbona leo hana furaha..anajisikia vibaya kuondoka ikulu?
Mimi mwenyewe nimeona, asijekuwa anamdrive
Tunazungumzia dar kwa muda huu na kwa siku ya leo hiyo ni ishara ya BARAKA kwa JPM,,, popoma ww