Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

Hatima yake ni ilifungwa kwa sala sote ya dini na tukatakiana kila la Kheri na raia wakatawanyika kwa Amani ya Bwana ikiwatawala

Ishaaalhaaalh!!!!!!!

ni viongozi gani wa kitaifa walikuwepo?
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Unao uhuru wa kutoa maoni lakini haya yanatuchefua! Nakushauri (kaa kimya tutakuheshimu)
 
hawa jamaa + ndugu wa mafisad wa ccm hawatak wasikie harakat kama hizo!ila inshort mmechelewa sana!
aksante sana ndugu bea, maneno yako ni mazuri na ni ya kizalendo tutafika tu, ubarikiwe sana
 
hatima yake ni ilifungwa kwa sala sote ya dini na tukatakiana kila la kheri na raia wakatawanyika kwa amani ya bwana ikiwatawala

ishaaalhaaalh!!!!!!!
hongreni sana mkutano mkubwa wa amani tunaomba list ya viongozi waliokuwepo huko
 
Ndugu wa karibu wa marehemu eg Mke, Mama au ndugu tegemezi wamesaidiwa ?.

Cha kusikitisha hata majina ya wale waolifariki hakuna anaeyajua..

Nasikia toka wapewe rambirambi ya laki mbili hakuna cha ziada.

Na yule polisi alipigwa mpaka kufa na wana Chadema nae mnamkumbuka?
 
Nilikuwa kwenye mapumziko, Sikutaka kujiingiza kwenye issue yoyote zaidi ya kupumzika na familia yangu. Hukwenda?? Hopeful sijapitwa na chochote!

Best! Huu mwaka ni mwingine! Naomba uje humu na mabadiliko angalau.

Ubwenyenye wa utumwa ni athari kwa Taifa letu Rejao!
 
Cha kusikitisha hata majina ya wale waolifariki hakuna anaeyajua..

Nasikia toka wapewe rambirambi ya laki mbili hakuna cha ziada

Hujafikiri sawa sawa, au ndiyo tabia yakokufanya hivyo!
Eti majina ya waliofariki hakuna anaeyajua??
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Mkuu kwaiyo hizi sikukuu za kukumbuka viongozi waliokufa nazo tusemeje au kwavile wanaokumbukwa hapa ni watu wa kawaida?
 
hongreni sana mkutano mkubwa wa amani tunaomba list ya viongozi waliokuwepo huko

HILI LA LEO ILIKUWA NI KUMBUKUMBU YA WALE MAREHEMU WALIOUAWA NA HW polisisisiem...........bila hatia na CDM pamoja na wenyeji wa Mkoa hasa wa hapa Jijini wakapendelea wawe wanakumbukwa tar kama hii kila mwaka ktk katiba ya Chama.

Wageni hawakuwa wengi kutokana na shughuli ya chama.
Ila hawa waliokuwepo wametosheleza kbs!
(1) Katibu wa chama Mkoa
(2)Madiwani wote walio hai ndani ya chama ndani ya wilaya na hata wale wa wilaya ya karibu walikuwepo
(3) MB wa Arumeru Mashariki.
(4) Makamanda wote wa vijana ndani Jiji na hata wilaya za jirani.
(5) MB,Godbless Lema! TOP

KAMA UNA LA KUSEMA SEMA! Maana una dalili ya kuwa teja kwa mafisadi lakini nakwambia epukana nao mapema kama wenzako waliorudisha kadi za mafisadi leo ndani ya jukwaa!!
 
Kama umeisha kwa Amani thts good. Hongereni.
 
KAMA UNA LA KUSEMA SEMA! Maana una dalili ya kuwa teja kwa mafisadi lakini nakwambia epukana nao mapema kama wenzako waliorudisha kadi za mafisadi leo ndani ya jukwaa!!
nothing like will happen on me lengo langu lilikuwa kujua yaliyo jili huko

walikuwa wangapi waliorejesha kadi
 
Kwa Akili zako zilizopinda unataka kusema sherehe za kumbukumbu ya uhuru ni bora kuliko kuwakumbuka wahanga wa Arusha waliouawa na polisi kikatili wakati wakidai haki na ukweli?
Ficha Upumbavu wako!
 
wananchi wa jiji la arusha hawajajitokeza kama kawaida yao katika mkutano huu wa chadema, watu ni wachache sana sijuii hali hii inamaanisha nini kwa chadema
magambas katika uwajibikaji (in progress)
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Wewe umekufa tayari ni maiti inayo tembea!Wale hawajafa bado,ningali nikiisikia sauti yao inayo tuhimiza kupambana dhidi ya udhalimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…