Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

Vilaza mko wengi!
hapana huwezi kusifu bila sababu iliyowazi ulipaswa kuandika japo kwa ufupi pointi iliyo kukolea kuliko ''eti jamaa ana sera yule eeeh ! '' watu wenye akili wanahoji zipi hizo ??
 
Well said mkuu
 
Wakazi wa Mjini Arusha waliojitokeza kukumbuka mauwaji ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la polisi Tarehe 5.1.2011
Umati huu hauridhishi hata kidogo CDM Arusha mmepoteza umaarufu hata Jembe Magufuli Juzi alijaza nyomi ya kufa mtu pale feri wakati wa kuhutubia. kwa ufupi Lema na CDM Arusha bye bye hakuna chenu tena; kwa taarifa na watu waliohudhuria leo mmewakodia magari kutoka Moshi kwani wana Arusha hawawataki tenaView attachment 44734
 
kama huna la kuongea ni bora ukasoma waliyo andika wenzako ni busara kubwa sana hiyo
 
Fanya kitu kimoja mwambie kikwete aje Arusha afanye mkutano pale NMC tuone atawapata watu kiasi hiki....

Angalizo asije na ze komedi na wasanii wa bongo flava
 
Rejao chamecha meku!! Ulipotea sana mkuu naona kule migombani hamna network
Nilikuwa kwenye mapumziko, Sikutaka kujiingiza kwenye issue yoyote zaidi ya kupumzika na familia yangu. Hukwenda?? Hopeful sijapitwa na chochote!
 
Kila kitu kimeenda shwafi kbs.
Hata inzi hajapoteza maisha!

Ama kweli hawa polisisisiem ni janga kwa Taifa letu.
Naweza kusema kwa jinsi nilivyoona leo pale tu Kamanda wa vijana CDM alivyogusia rambirambi ya yule askari aliyeuawa kwa kupigwa risasi na yule jambazi sugu na ndipo wanaCDM wakapinga kwa katukatu kwmb hawatatoa rambirambi kwa ajili ya huyo askari.
Ndipo nikajua ya kwmb" MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPENI"

Na ni mpaka mwezi wa tatu tukutane tena ktk sakata la uchaguzi wa madiwani usiona na upinzani!

HALELUYAAA!!
 
hapa umeeleweka kuliko mwanzoni tulipopishana mkuu

sasa hatima yake ikwaje
 

Tunawaenzi mashujaa wetu,hao ni mashahidi wa ubeberu na ubazazi wa CCm na serikali yake isiyokuwa na haya,daima tutawakumbuka na kuwathamini mashujaa na watanganyika hawa,let them rest in peace,amen.
 
hapa umeeleweka kuliko mwanzoni tulipopishana mkuu

sasa hatima yake ikwaje

Hatima yake ni ilifungwa kwa sala sote ya dini na tukatakiana kila la Kheri na raia wakatawanyika kwa Amani ya Bwana ikiwatawala

Ishaaalhaaalh!!!!!!!
 

Magufuli alikwenda kuzungumzia Kivuko...... watu wakafikiri ataongelea daraja ndiyo maana wakajaa. Mwambie aende akaitishe mkutano wa kisiasa kama atapata watu 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…