Karibu viongozi wakuu wote wa kitaifa wa CHADEMA wameshawasili Arusha, leo watawaongoza maelfu wa wakazi wa Jiji la Arusha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja ya watu waliouawa kikatili na askari polisi, Januari 5, mwaka jana.Maandalizi yameanza hapa uwanjani jeshi la Polisi limetoa baraka zote za mkutano, tutataarifiana kitakachokuwa kinaendelea.
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
ni ukweli mtupu hakuna la maana hapo ni kuwapotezea watu mda!
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
Hueleweki hata unazungumzia nini..umekurupusha na Nepi kuja kuandika hata hujuini kinacho endelea....Hivi hii ni habari au ni shairi? Copy n paste mbaya sana!
Neno jipya hili, hebu tusaidie maana yakeHadi saa hizi hakuna jipya au wameahirisha kulutana?.
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
wewe nadhani masaburi yako yanawasha
Akhsante sanaWawakumbuke kwa vitendo , kwa kuangalia wale waliokuwa wanawategemea na kuwasaidia katika mambo muhimu kama elimu, malazi, matibabu na huduma zingine muhim.
Nilipoona sijakupata hapo juu, chini naona nimekupata lol!Kumbe kweli hiki ni chama cha wapenda sifa! Huu ni upuuzi wa hali ya juu, badala wawahimize wananchi wachape kazi kuondoa umaskini wao kila siku ni mikikutano tena hasa arusha! Naona viongozi wote wa chadma sasa watakuwa matahiira maana kila mahali wanaandamana wote, majimbo mmepewa lakini hakuna dalili yoyote ya maendeleo zaidi ya kuchochea vurugu kila siku. Najua mtanishambulia sana ila ukweli unauma! Acheni watu wafanye kazi hata ninyi mko kazini maana mnalipwa posho sio bure, na watakaohudhuria hio kumbukumbu ni mbumbumbu wa kufikili
Tanzania! Tanzania! kwanini unakuwa malaya hivi? kila mtu anakubaka?
naunga mkono hoja hii, wategemezi wa mahanga wasaidiwewawakumbuke kwa vitendo , kwa kuangalia wale waliokuwa wanawategemea na kuwasaidia katika mambo muhimu kama elimu, malazi, matibabu na huduma zingine muhim.
Wewe ndiye uliyekurupuka! umeona original post ilivyokuwa imekaa? Sukuruni mods kwa kuiedit!Hueleweki hata unazungumzia nini..umekurupusha na Nepi kuja kuandika hata hujuini kinacho endelea....
Wewe ndiye uliyekurupuka! umeona original post ilivyokuwa imekaa? Sukuruni mods kwa kuiedit!