Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

Muda ushafika,tusubiri matokeo,msije sema hamkuonywa,mshahara wa dhambi ni mauti
 
Point yake ni kuwa wananchi tunataka tupate taarifa sahihi, kama ni matango pori kuleni wenyewe Lumumba
Taarifa kwenu mliozira zinawahusu nini?? Huu unafiki aliowaambukiza mbowe KAMWE hamtatusua.
'OVER MY DEAD BODY'- F. Mbowe.
 
Wakuu hivi Aman Karume yeye ana asili gani? yuko sawa na Maalimu Seif au Shein?
 
Bora hili jambo lipite shein apewe nchi yake kialali maana hawa makajanja wa ukawa awalali kwenye media kila siku kila mdaa znz Znz wanaonewa. Swali nyie makajanja kwani wale walifanya mapinduzi kutaka haki yao kipindi kile cha KARUME ,OKELLO ,ABRAHAM BABU na wengineo siwalikuwa wanzanzibari kasolo okello ambaye ni mganda. Makajanja UKAWA ACHENI MAJUNGU,, ACHENI UNAFKI! ACHENI KUPOTOSHA JAMII ,
 
Huyu Masako hafai kabisa Waziri kasema kiembesamaki kuna vituo 12 na misululu ni mikubwa Masako anamuuliza ripota wake sasa ww tuambie ni kweli kuna misululu maana sisi kwenye pcha hatuoni misululu? Ripota anajibu ni kwel hakuna misululu dah nimecheka sana
Hahahaa hiyo kiboko
 
IMG-20160320-WA0015.jpg
 
Rais Mugabe aliwahi kusema katika mahojiano ya kuwa litakuwa ni jambo la kushangaza sana kushindwa uchaguzi kama mahakama, vyombo vyote vya usalama na mihimili ya dola ipo chini yako. Na haya ndio yanayoendelea kutokea leo Africa.
 
Back
Top Bottom