YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Kweli viongozi wa ccm wamezarau saana sisi wananchi mpaka wanadiliki kututuka sisi eti wapumbavu!!? Lkn October25 siyo mbali,
 
Kweli ccm ni wapumbavu kabisa.

Eti JK anasema zile picture za mafuriko ya Lowasa ni photo shop

NB: Msichukie tukitumia neno "Mpumbavu" maana tumefundishwa leo na Mkapa.
Pia neno MAFALA ruksa!so CCM mafala hata kikwete analijua hilo ndo maana kawaambia hayo!
 
Siasa za mipasho"matusi kejeli muasisi ni ccm.. wallah wameishiwa hawa wazee naurumia vijana waliojaa hapo uwanjani
 
Hujielewi, ukiona watu hawajikukusikiliza ujuwe wanajua huna jambo jipywa la kuwaeleza in other way around labda wanakudharau.
Khaa!! Hii si kwa maGT. MaGT watakusikiliza kisha watakutafakari. Nyumbu wao hufuata tu bila kujali mto una mamba au la :mvutaji:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom