Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

Leo TWAWEZA watatoa utafiti wao.. ambayo inaongozwa na miriam sarungi baada ya hapo siku zijazo REDET watatoa zao lkn nawaombeni mjue ni kwann JANUARY alitangaza asilimia zile,,,ule ulikuwa ni mpango ambao kwss utafuatiwa na TWAWEZA, halafu REDET yote yaki pendelea CCM na kutengeneza mazingira ya kuiba kura maana hawana namna nyingine. Kutokana hali hyo nawaombeni ndugu zangu msiwe na wasiwasi ppt ulipo endelea kupigana
Taarifa za uhakika nilizopata CCM imeandaa utafiti feki kupitia Twaweza....watasema Magufuli ana asilimia 68% na Lowassa 22%

Ripoti halali wanayo ya Lowassa kuongoza lakini watatoa ripoti Feki.

Kwa huu muda wa asubuhi mpaka saa 4 pigeni kelele kupitia njia mbalimbali kulaani ushenzi huu.Tumieni JF,FB,tweeter,Instagram nk...
 
ha ha kwaiyo ngosha alipewa na lowasa m kumi za kuwanyoosha bodaboda alafu sku chache mbele ndo anamponda kiasi iko
 
Wewe una rekodi ya kuiba mume wa mtu halafu ukaachwa solemba mpaka ukalazwa!!!!!! Una any moral authority kuzungumzia mambo haya???
Wewe acha kujifanya unanifahamu.hii ni internet,siyo interphysical.Wewe mimi nina mme wangu tena wa ndoa takatifu ya mme na mke mmoja.Hapo upo?
 
Twaweza wameikosea sana ccm na yaani kama kuna makosa ccm wamefanya na yatawagarimu ni kupea twaweza pesa za utafiti naza kujikimu kisha watoe matokea ambayo hata kuku na mbuzi wanayacheka tu maana kusema magufuli ana 64% na lowasa ana 25% nikutukana watanzania na nikutusi akili za aliye fanya huo utafiti,huu ni ujinga na upumvavu mkubwa sana ccm wametusaidia sana kufanya kampeni
 
Kila mtu anafata uasiliya wa baba vipi leo chadema mjiite wa tz? Wakati ni juzi tuu wakina mama wa kasikazini walithibisha wamechoka kukodi mbegu za kina baba toka kenya, sasa hapo kuna mtanzania? Na wa mbeya nao ni wazambia 'mnataka kutuchafuliya inchi ili mlete baba zenu kuwa kabidhi inchi hapa?? ,magufuli hapa kaziiiii tuuuuuuu????
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin
 
Now wait NYUMBU waje wakiona thread mpya tu wanakimbilia negative comment hata kitu kikiwa positive stil watapinga tu.
 
Back
Top Bottom