Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Mgombea wa Urais kupitia CCM, John Magufuli yupo Chato akiinadi ILANI ya CCM.

attachment.php


Fuatilia LIVE UPDATES hapa...

unnamed%2B%252831%2529.jpg
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu.
unnamed%2B%252823%2529.jpg
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu.
unnamed%2B%252824%2529.jpg
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu.
unnamed%2B%252828%2529.jpg
Mama Janet Magufuli, mke wa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu.
unnamed%2B%252829%2529.jpg
unnamed%2B%252826%2529.jpg
Sehemu ya maelfu ya wananchi katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari mkutano wa kampeni
unnamed%2B%252832%2529.jpg
Sehemu ya maelfu ya wananchi katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari mkutano wa kampeni.


 

Attachments

  • MagufuliPoster.jpg
    MagufuliPoster.jpg
    13.4 KB · Views: 16,576
Last edited by a moderator:
Hawaamini wanachokiona wana geita na chato, wameenda kushangaa mtu aliwambia wanye barabarani mavi yawe lami leo bila aibu anaenda kuomba kura, wameenda kushangaa jinsi magufuri asivyo na mshipa wa aibu.

Magufuri ni reject material ndio maana matangazo mengi sana na live coverage kila kona. Lowassa ndie rais wa watu hao wengine wanapoteza muda.

Magufuri ni sawa na kondoo anaewasindikiza wenzake kwenda kunyonyesha wakati yeye hana mtoto.
 
Yuko live Star Tv ..wenye vijiba vya roho njooni mtoe kasoro kama ilivyo ada yenu[/QUOTE

usikivu hoyeee by bulembo.
kuna magepu...kazi yao kuwasema lowasa sumae mbowe.
Namsikiliza makufulu anadanganya watu...kuelezea ukuwaji wa wa mashule na nyumba anasahau kuwa watu wanaongezeka kwa hio ni lazima kila kitu kiongezeke by nature
 
Huyu Bulembo mwenye CV atuwekee hapa kichwani ni mweupe kabisa
 
Mwenyekiti wa ccm Geita awataka Wasukuma na Wana Kanda ya Ziwa kumchaguwa Magufuli kwani ni Msukuma Mwenzao wa Kanda ya Ziwa , je hii siyo Ukanda na Ukabila ??
 
Back
Top Bottom