Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

Sasa hizi za Siku nyingi , yupo mafichoni mtu mwenye Kuto kuheshimu ndoa yake na mke wake wa ndoa hastahili Kuwa rais
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

Hapo ni wapi na ilikuwa lini?

#JustAsking.
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

Alikua wilaya au mkoa gani? Wetu alikua Iringa naona mutaumbuka sasa hivi na copy ang paste yenu.. Ama kweli maccm wameshikwa pabaya kweli.
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

Mr. Chin unafanya kazi ya ziada kuhakikisha unacash buku zako saba kila siku. Piga kaaz mwanaume, magamba lazima watokwe kamasi kidogo - ila siku ya kupiga kura, CHAGUA LOWASSA, CHAGUA UKAWA, CHAGUA MABADILIKO
 
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg

unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

Ni Janeth Kumbe. Safi sana jina zuri hata Museveni na Kagame mke wake anaitwa hivyo hivyo. Ukawa walishaanza zusha ni Sindi eti yule aliyenunuliwa nyumba za serikali.
 
Masaki wameona wivu wa picha za Regina kila siku! Nao wameona waweke picha, hata kama sio relevant.
 
Huo ulikuwa ni mkutano wa Magufuli mwezi uliopita pale Chato, huyo mama alienda ukweni na wakwe wakamsindikiza hadi jukwaani ili awasalimie watu, mama kwa heshima kubwa kwa wakwe zake ikabidi apande jukwaani kuwasalimia watu, lakini baada ya mkutano tu, Mama akapotea zake.
 
Back
Top Bottom