Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

tumsamehe mleta picha kwani bila haya madudu kula yake itayumba,basha wake atamkimbia.
#hapa buku 7 tu#,
 
Hivi hawa CCM wanajua maana ya kufanya Kampeni? Au kila anayesimama kwenye majukwaa yao kusalimia naye anafanya Kampeni?
 
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg

unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin
Amefanya kampeni Chato tu!!
 
Naona huyo mama hana jino moja la chumbani najua makufuri atakua alisha mtoa sii unajua mambo ya wababe tena hawajawahi kuongea mara mbili bila kurusha ngumi. Na huwa mnamuona makuguri kwenye majukwaa akiongea maneno mawili lazima apige push up na yale ndio maisha yake toka enzi hizo anachunga ng'ombe nasikia hata wakati anachunga ng'ombe alikua anawatesa sana. Mpaka leo makufuri alisha athirika kisakiolojia kwahiyo kila mtu anamchukulia ni ng'ombe na ndio maana mara nyingi maamuzi yake huwa yanakua hayana busara.
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

Ni vizuri sana na ni haki yake amsaidie mumewe kama mama regina anavyofanya. Aweke tofauti zao pembeni kama zipo. Afahamu magofuli akivuka ni masilahi ya familia yao wote.
 
Mtu aishi na mumewe anakuaje first lady, magufuli ana kitu ya kihaya kama ya slaa
 
Hyo ilikuwa chato na ni baada ya kubembelezwa sana na hajatokea kwingine kokote. Acha uongo wewe
 
mod, acheni upendeleo hiki kulichosemwa ni sawa lakini miguu fimbo siyo sawa eti?

nikajua mnakipenda kidevu cha magufuli kumbe hata nyie hamkipendi ndiyo maana hata hamtaki kidevu chake kilandane na cha magufuli pole mkuu vumilia tu ,kama videvu vinafanana kwanini tusiseme
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

Acheni uongo, huu ulikua mkutano wa makufuli na yeye alikua anajitambulisha.
Hana uwezo wakuvutia watu huo mama. Ila kwavile munapenda kumlinganisha na Regina Lowassa, mutachemka. Regina anajitambua sana na ni first lady material sio kama....tuwe wakweli.
Naona munatamani angefanya hivyo, dah! Kazi munayo lumumba buku saba na IT Masaki.
 
[h=3]
12108104_1034791436541125_2912279701100949457_n.jpg
[/h]
unnamed%2B%252828%2529.jpg

Kampeni zinaendelea kila kona ya Tanzania. Mama yetu ambaye ni next first lady akihutubia umati wa watu ambao wote walisema kuwa, KURA ZAO watampa Dr. John Pombe Joseph Magufu.

Na Mr. Chin

ni wapi hapa we muhuni??? kwa kweli mmeshikwa pabaya
 
Ni vizuri sana na ni haki yake amsaidie mumewe kama mama regina anavyofanya. Aweke tofauti zao pembeni kama zipo. Afahamu magofuli akivuka ni masilahi ya familia yao wote.

mkuu na wewe unaamini picha za kutengeneza? hebu zicheki tena
 
Back
Top Bottom