Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais CHADEMA(UKAWA) Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

Hiyo ni kweli mkuu hata mimi wamenichanganya kabisa , jana nilijua atakuwa pwani.

Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni

Si unajua lowassa ni rais mpaka sasa, kwa hiyo yote hayo yanatokea kwa sababu za ki intelijensia na kiusalama zaidi, calm down hamna kilichoharibika!!
 
Ukianzia njia panda ya machame hadi unafika gate la mlimakilimanjaro ni mabango ya mbowe tu .. daladala zinabendera za chadema na picha yaani isitoshe mgombea wa ccm kuna baadhi ya wapiga kura awamfahamu hata jina lakeeee.... jimbo ni la kaka mbowe
 
Nikweli kabisa mkuu mimi nipo bomang'ombe wilaya ya hai huku watu wanamngoja mweshimiwa kwa hamu sana.viva tanzania.viva ukawa
 
Kuna tangazo la ccm clouds radio linasema wanaanchi mnaalikwa kwenye kampeni ya mgombea upresidaa leo shinyanga .... tot watakuwepo shilole, diamond nk
mbona hawasemi mbunge wala bulembo nk watakuwepo?
Mh leo raha kwa mbowe
 
Leo Rais anaesubiri kuapishwa Eddo Lowassa atakuwa jimbo la mwenyekiti wake , tafadhari mulioko huko tunataka updates za mapema , manake kuna mwanangu yuko huko amenambia CCM kupitia mabalozi leo hawajalala , walikuwa wanapita nyumba hadi nyumba kuwazuia watu kuhudhuria mkutano huo.

= tafadhali

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni

Kwani ile ratiba ya makufuli inafuatwa? kwa nini karuka Mwanza? hoja zimewaishia mmebaki kupiga pushapu kana kwamba tunatafuta baunsa wa night club
 
Nyani hajioni nyuma...
Makufuli anaiponda serikali yake ya CCM kuwa..
1-Anasema serikali ya CCM imekithiri wizi wa madawa ya hospitali
2-Anasema serikali ya CCM,Inatumia mgambo kutesa wananchi
3-Anasema CCM imejaa ukiritimba hadi wanafunzi wananyimwa mikopo..
4-Chini ya utawala wa ccm anasema kuna uporaji mkubwa wa ardhi..
5-Utawala wa CCM anasema umejaa watendaji wabovu..
kumbe serikali ya CCM haifai.
Kikwete anasema Makufuli yupo sahihi kuiponda CCM kwa sababu anataka mabadiliko,M4C..lol
LAKINI
1-Na yeye alipora nyumba nane alipokua Wizara ya ardhi.
2-Anawalaumu mgambo anasahau alivyokua akiwawinda wavuvi masikini, mchana na usiku,anasahau alipovunja sheli ya mtu Mwanza kwa chuki binafsi akapigwa faini mahakamani..
3-Anailamu serikali yake ya CCM kwa kutowapa wanafunzi mikopo kwa wakati ,anasahau Wizara yake ya ujenzi ilipigwa faini ya bilioni mia tisa kwa kutolipa wakandarasi..
5-Analaumu serikali yake ya CCM kua na watendaji wabovu anasahau alinunua kivuko kibovu MV Dar es Salaam cha mwaka 1978 kwa bilioni 6 hivi karibuni,aliongeza nauli za vivuko lakini mara kwa mara vivuko hivyo huzimika majini..
6-Anawataka wananchi wasikubali mabadiliko lakini anajiita Makufuli for Change..
duh
@rif 2015
 
Kuna tangazo la ccm clouds radio linasema wanaanchi mnaalikwa kwenye kampeni ya mgombea upresidaa leo shinyanga .... tot watakuwepo shilole, diamond nk
mbona hawasemi mbunge wala bulembo nk watakuwepo?
Mh leo raha kwa mbowe

Mkuu ata mimi nimelisikia hilo tangazo hapa home tumebaki kujiuliza mbona kama ni BONANZA kwa maana ni majina ya wasanii peke yao yamenadiwa ili kuwavutia mashabiki
VIVA UKAWA!!!
 
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni

Mkuu hiyo ni mbinu ya kiintelijensia wenyewe wanafahamu nini wanafanya 'everything happen.. happen for a reason'
VIVA UKAWA!!!
 
Ndugu wajameni, leo mna karibishwa kusikiliza ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge wa UKAWA kwa tiketi ya chadema,mh,mw/kit wa taifa Freeman mbowe,akiongozana na viongozi mbali mbali wa ukawa,akiwemo mgombea wa ukawa kwa tiketi ya chadema, mheshimiwa ngonyai lowassa, tuache propaganda UKAWA wanatisha, watatanguliwa na mikutano minne kabla, ya mkutano mkubwa utakao fanyika Hai mjini viwanja vya bomani, utarusha hewani live na ITV, radio Boma, radio kibo fm na Moshi fm, karibun wote,

Chanzo: Katibu wa mbunge kupitia boma FM
 
Back
Top Bottom