Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais CHADEMA(UKAWA) Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

Mm
n

mnajipa moyo....hadi sasa mmshaisoma namba mikoa ambayo yote magufuli amepita mmeshapigwa mabao... Magufuli aka tinga tinga au ukipenda mtumishi kiongozi rais wa awamu ya 5 tanzania...fungulieni tv yetu pendwa ya star tv muone mambo kuanzia saa tisa na nusu jioni
 
Kamanda yeyote shupavu anapokuwa vitani hubadili mbinu kila siku .

Halafu mkuu kitu kinacho nishangaza Lowassa kweli anapendwa na wa Tz wengi! Anaweza kwenda mahali bila taarifa na akafanya mkutano na akajaza watu nyomi
 
lowasa is pai dee square over four..
haitabadilika hiyo.
tulikuwa nae...tunae..tutakuwa nae.
 
Mwaka huu Clouds wamepigwa bao la fiesta na ccm.
Baada ya kampeni fiesta itakuwa imekamilika katika mikoa yote, hakuna atakayekuwa na hamu yakuwaona wasanii tena,,
 
Mkuu CCM wameishiwa mbinu nafikiri mgombea wa CCM ukimwambia bunduki yake haina risasi anaweza kupiga risasi hadharani mbele ya mkutano.

Vincent Nyerere kamchana Magufuri na kumtaka aonyeshe kama kweli katahiriwa na sio kuhadaa watu kwa pushups.
 

Attachments

  • 1443268806788.jpg
    1443268806788.jpg
    52.2 KB · Views: 824
  • 1443268845451.jpg
    1443268845451.jpg
    41.5 KB · Views: 809
Ule umati unaouna kwenye hizo picha wengi wao ni UKAWA...pale wamefata burudani bongofleva...kura ni Ukawa tu...
 
Back
Top Bottom