Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais CHADEMA(UKAWA) Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

makundubhyali

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,389
882
Leo Jumamosi 26/9/2015 ni zamu ya Hai Kilimanjaro Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA(UKAWA) yuko Mkoani Kilimanjaro katika Jimbo la Hai akiendelea kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA
hi3.jpg
hi4.jpg
hi12.jpg
hi7.jpg
hi.jpg hi6.jpg

#Mabadiliko2015
 
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni
 
Nipo hapa boma karibu na snow view hotel ni shamra shamra watu ni wengi kila kona piki piki zinajiandaa kuanza msafara wanafunga bendera za chama rasmi kuanza kumpokea Rais wetu kipenzi cha watanzania
 
Mkuu kama upo hapo jitahidi utupe updates za nguvu mpaka CCM walegee.
 
Nipo hapa boma karibu na snow view hotel ni shamra shamra watu ni wengi kila kona piki piki zinajiandaa kuanza msafara wanafunga bendera za chama rasmi kuanza kumpokea Rais wetu kipenzi cha watanzania

Leo hujaenda kibaruani?
 
Back
Top Bottom