Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,790
- 2,159
Haya magazeti ya leo hawataki kuyaona.... Nimeamua kuyaweka kwenye kila uzi unaoanzishwa.....
Hiyo ni kweli mkuu hata mimi wamenichanganya kabisa , jana nilijua atakuwa pwani.
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni
Leo Rais anaesubiri kuapishwa Eddo Lowassa atakuwa jimbo la mwenyekiti wake , tafadhari mulioko huko tunataka updates za mapema , manake kuna mwanangu yuko huko amenambia CCM kupitia mabalozi leo hawajalala , walikuwa wanapita nyumba hadi nyumba kuwazuia watu kuhudhuria mkutano huo.
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni
Nashukuru mkuu, ila jiandae kwenda kufundisha baada ya kuzikwa rasmi CcM octoba.= tafadhali
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni
Kuna tangazo la ccm clouds radio linasema wanaanchi mnaalikwa kwenye kampeni ya mgombea upresidaa leo shinyanga .... tot watakuwepo shilole, diamond nk
mbona hawasemi mbunge wala bulembo nk watakuwepo?
Mh leo raha kwa mbowe
Kampeni za lowassa zimepoteza muelekeo.atakavyoamka ndio huko huko ile ratiba tuliopewa imetupwa kapuni
Mbowe ana hali mbaya huko jimbo linarudi kwa ccm.