Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Kabla hujaccoment kitu hebu shirikisha ubongo wako kwanza! Maana ni afadhali kukaa kimya kuliko kutoa mawazo ya kipuuzi na kibaguzi ukazidi kudhihirisha upumbavu wako
 
Watanzania tuache kuchezea bahati , tutajuta ! DR SLAA ni tunu tuliyopewa na MUNGU .
 
Mbona mnapenda kuhoji mambo binafsi ya mtu? Poleni sana kama bado akili hizo zinatawala vichwani mwenu mnaoendelea kujadili!
 
Aaaah kihoro choke ni kwa dear ujeruman....gharama ya usaliti ni kifo cha kisiasa ka ilivuokuwa kwa yuda iskalioti....!!!
..
 
Siku zote huwa -------- hupayuka bila ushahidi! Na kama ilivyo theluji wakati wa joto na mvua wakati Wa mavuno; kadhalika heshima haimpasi --------!
 
Dr Slaa anakadi ya CCM,

Mbowe kala hela za CCM,Mkono na Rostam,

Ila Zitto akihusishwa na CCM anaonekana msaliti na mhaini!!

Basi mwambieni na Zitto akachukue Kadi ya CCM.
 
Ni kweli mtupu Dr Slaa kasema kama madiwani watano waliwajibishwa hakuna kizuizi kwa yeyote kwayo ,nidhamu ni jambo la msingi katika utawala wowote
Na kwa kuonyesha umahiri wa chama nafasi zote zikarudishwa na CCM ikaambulia aibu ya kushindwa pamoja na kuandaa mauaji.
hiyo inamaanisha kuwa Watu wa Arusha walielewa maana ya maamuzi yale ya kuamua kufukuza wale madiwani. Na sasa wana Chadema wameelewa tena kwa nini hawa nao wamefukuzwa. Ni watu waji.nga tuu wanaoweza kujiita wap mbanaji halafu wakagudua miongoni mwao kuna wasaliti halafu wakaendelea kufanya nao kazi.
misingi ya kufata kanuni hata Tanu na CCM ILE ya Mwl Nyerere ilikuwepo ndio maana wapo watu mashuhuri san kama Kambona na Maalimu Seif walifukuzwa pamoja na vyeo vyao vikubwa.
 
Mfadhiri mkuu wa chadema na mjumbe wa kamati kuu-philemon ndesamburo -anaamini rais wake ni lowasa,na siyo dr.slaa,freeman mbowe na zitto kabwe wanagombania bwana mmoja-rostam aziz,na nimrod mkono,hawa kiufupi ndiyo wanaowaweka chadema mjini,kama kweli chadema inao ubavu huo ambao baba josephine mushumbuzi anajivunia ,basi imtimue ndesamburo aliyeamua kuitisha press confrence kumnadi lowasa,imtimue shibuda anayejiita nyambizi.what is madiwani watano??-hah ahah,fukuza ndesa pesa tuone.
 
Mbona hakuna jibu hata moja kumejaa porojo porojo tu! Ajabu hata ila za uchaguzi huwa zimejaa porojo porojo tu! Na watu wanashangilia
 
Back
Top Bottom