capito
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 424
- 229
There is no need to discuss about someone's personal issues! Masuala ya Mbowe ni ya Mbowe! Na ya chama ni ya chama! Chadema huwa tunaamini ktk kusimamia kile tunachokiamini! Zitto anastahili kuadhibiwa kwa alichokifanya! Alishaonywa zaidi ya Mara nne hadi kufikia kukalishwa na wazee wanne wa busara wa chama lakini hasikii! Sasa mtu unataka abebwe na mbeleko gani!
Nani alikuambia unaweza kutenganisha uongozi wa umma na masuala binafsi? Ukishakuwa mtu maarufu whether ni mwanasiasa au siyo mwanasiasa masuala yako binafsi yanakuwa na interest kwenye public. Wewe hujasikia viongozi wakubwa waliowahi kujiuzuru kwa kashfa za ngono, mmoja wapo ni mkurugenzi mtendaji wa bank ya dunia aliyepita , tena aliponea chupuchupu kutupwa ndani Marekani.
Tunahitaji viongozi waadilifu, sio mtu anasema anapinga ufisadi wakati anaenda kutanua Dubai na kimada kwa hela ya walipakodi. Je, akipewa nchi itakuwaje?