KONYAGI, GRANTS, VALUU zote ni gongo tu hizo, au wewe hujui?, mbona hujawahi kuzilalamikia??
Hahahaa watu wote wanajua mvua ni baraka sasa nyie wakaanga sumu mtajibeba mwaka huu.
kwahiyo leo mtakunywa gongo mpaka muoge naona mwaasisi amekuja kuwaongezee nguvu leo lazima mjue inavyotengenezwa.
nimepiga picha nyingi sana ila ku upload imekuwa magumashi handset niliyonayo imekataa kabisa mafoto
Wewe nawe! Toka lini kasimu ka tochi kakachukua foto? Ok. hongereni kwa vile mnakopesha ruzuku yenu for nothing mko kama vile mateja na pusha wao mkiambiwa imbeni niwape unga mnaimba vueni nguo mtavua ila niwambieni mzunguke weee ila dawa yenu imeiva inawasubiri muinywe japo chungu mtainywa tu mnadhani wanaokuja kushangaa Helcopter wote ni Cdm? Tulieni mnywe dawa yenu wazimu utawatulia tu.
Kyela wako kwenye kilimo. Waacheni wajiletee maendeleo yao wenyewe.
Hii mikutano ya namna hii mtawapata watu wa mijini wanaokuja kupitisha siku.
Hivi mpaka sasa hakuna mtangaza nia ya kugombea ubunge kupitia CDM mwenye vigezo ili ajulikane mapema? Mbona mnawapa kichwa CCM na Mwakyembe wao?
nyie ndio professional kwenye mambo ya sumu, ben saanane aliwahi kutuhumiwa kuwa anatembea na sumu ili kumdhuru mzalendo zitto.
Mi natangaza nia ya udiwani apo ngonga
uwezi kuamini maelfu wa watu walivyojaa katika uwanja wa siasa wilaya ya kyela licha ya mvua kubwa na upepo mkali wa ziwa nyasa.watu wamegoma kusogeza hata nukta ya unyayo mpaka wamsikilize Dr. slaa
tunawashukuru sana wanakyela kwa mapokezi mazito mliyompatia DR SLAA .
mzee sijui kaenda kufanya nini kyela mwaka jana alienda akavunja uongozi wote wa kyela akaweka kundi lake walimwambia hawamtaki tena kumuona kyela.
Mi natangaza nia ya udiwani apo ngonga