Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

Dr Slaa anakadi ya CCM,

Mbowe kala hela za CCM,Mkono na Rostam,

Ila Zitto akihusishwa na CCM anaonekana msaliti na mhaini!!
 
Ndivyo ilivyo tofauti kati ya CCM na CHADEMA. CCM walisema wanatoa wa kuwafukuza mafisadi na kujivua gamba, hadi leo mafisadi hawajafukuzwa na gamba limekwamia kiunoni halivuliki. Kwa CHADEMA tunatenda tunachokisema.
 
zitto ni ngumi jiwe. ametangaza kugombea uenyekiti kihoro, ametangaza kugombea urais chadema kihoro....
 
Ni kweli mtupu Dr Slaa kasema kama madiwani watano waliwajibishwa hakuna kizuizi kwa yeyote kwayo ,nidhamu ni jambo la msingi katika utawala wowote
 
zitto ni ngumi jiwe. ametangaza kugombea uenyekiti kihoro, ametangaza kugombea urais chadema kihoro....
Akagombee chauma au ACT anagonjwa huko lakini hawezi pewa chama makini msaliti na mamluki
 
Nadhani huwajui wazinzi mmojawapo yupo magogoni pale ana watoto kila aina ya ukoo

vipi yule anayeenda kuvinjari na mahawara huko dubai huku wamechukua posho za bunge na yule aliyepora mke wa mtu
 
suala la matumizi ya rudhuku na matumizi ya chama mbona slaa sijawahi kusikia anazungumzia?nitoeni ukungu jamani
 
Rais wetu dr slaa hakuna ubishi hapa kwangu nina familia ya wanao nitegemea 9 kura zote kwako,twasubiri uboreshaji wa daftari la wapiga kura vijana wangu waingizwe
 
Back
Top Bottom